Tukio hili likikutokea utafanyaje huko mbugani?

Unashauriwa kwenda na ma game reserve maana wana mbinu tofauti.
 
Itakubidi ulazimishe usingizi hata kama ni mchana kweupe
 
Naye kazidisha misifa, yaani hajaona miti yoote hapo hadi ajikunie kwenye ngari?
 
Hapo dawa ni kutokea kioo cha nyuma na kutimua kwa sababu kinachofuata hapo ni pozi la kulala
 
Hapo hakuna ujanja zaidi ya kushuka na kutimua mbio tu!!.... manake inaelekea muda si mrefu atailalia kabisaaaa! manake tembo mwenyewe nahisi amevimbiwa hyo!!...
 
unambembeleza kwa kubonyeza honi ka harusini! pi pii pii ...........pi pi pi...ataondoka!
 
aisee mi nitajaribu kuchukua wheel spana nimtekenye nayo uenda akaboreka akaondoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…