Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

Nikiwa na miaka 9 kijijini tulikua tunaoga kwenye mto alafu ni watu wa rika mbali mbali basi nikawa na tabia ya kushangaa sana kuwaona wale watu walionizidi umri wameota nywele sehem zao za siri, na mimi nikawa na shauku kweli ya kuota izo nywee, bwanae nikapata akili ya kuokota nywele zilizotupwa nikatafta na minyaa nikajibandikia rundo la nywele kwenye sehem zangu za cri, kidume nikaenda home alaf nikamkuta bi mkubwa anapika nikachukua sabuni na uzi mimi mbio mpka mtoni, nikawakuta wakubwa wanaoga na mimi nikajitosa kuoga nilivyovua2 nguo wakaanza kushangaa wale wakubwa na mimi naona ujiko kweli, walinikamata nilipewa kibano mpka nikaongea, nikapelekwa kwa Bi mkubwa uko ndio nilienda kupewa kipigo tukufu, kumbe ile minyaa nilijishika kwenye dushe wakati nabandikia zile nywele, dushe lilivimba kesho yake kama kichwa cha kobra mkojo ukawa hautoki nilipelekwa Hospitali mbona, kimbembe kilikuja kwenye kuyabandua yale nywele nilipata maumivu makali sana, mpka Leo naona aibu sana mbele ya familia japo ni miaka mingi imepita
Hahahahaha.....kuna dogo na yeye alifanyaga hivyo.
 
Wakati naanzaw maisha nilifikia kwa ndugu yangu mmoja
Alikua anaweka kila kitu kwenye jokofu, Ila mkewe hakuruhusu kitu kitoke bila yeye kutoa,

Sasa siku hiyo nikawa natamani sana soda, nikafungua jokofu nikanywa soda,nikabakisha kidogo ili nijaze maji,

Ile naanza kumimina maji kwenye ile chupa yenye soda kidogo,hamadi!
Yule Mama huyu hapa, akanifuma mzima mzima aliongea sana,
Sikuchukua wiki nikahamia kwa rafiki!
Mpaka leo sijawahi kufika kwenye ile nyumba
 
Wakati naanzaw maisha nilifikia kwa ndugu yangu mmoja
Alikua anaweka kila kitu kwenye jokofu, Ila mkewe hakuruhusu kitu kitoke bila yeye kutoa,

Sasa siku hiyo nikawa natamani sana soda, nikafungua jokofu nikanywa soda,nikabakisha kidogo ili nijaze maji,

Ile naanza kumimina maji kwenye ile chupa yenye soda kidogo,hamadi!
Yule Mama huyu hapa, akanifuma mzima mzima aliongea sana,
Sikuchukua wiki nikahamia kwa rafiki!
Mpaka leo sijawahi kufika kwenye ile nyumba
Duu pole sana , iliwahi nikuta nilikuwa na safari nikasema ngoja nishuke hapa niwape hi kisha niendelee na safari yangu, yule mamdogo yaani mke wa bamdogo alikuwa na ndugu yake ambaye ni mjukuu wa dada yake katika kiongea ongea bwana ee kaenda geuza maneno kwa bibi yake, mama yule wakizaramo asivyokuwa nadogo kayabeba, siku hiyo kaja kaka wabamkubwa nikaitwa msuto ukaweka nilijisikia vibaya mwaka wa 8 sijawahi fika, tulionana na watoto wake kwenye msiba wa baba yangu basi
 
Tulienda Easter Conference iliyokuwa inafanyika pale ST METHEW secondary sasa sisi wahuni wa Azaboy tukaenda kunywa pombe tukarudi ukumbini sasa kuna mhamadishaji mmoja alikuwa anagawa lecture ya mafunzo kuhusu vijana.
Si akaanza na kusema "vijana wa Mungu mshangilieni Mungu watu wakapiga makofi na vigelegele baadae akaja kusema "vijana wa mungu mzomeeni shetani"daa hapa mimi na rafiki zangu tuliokuwa tumekunywa viroba (enzi zile havijapigwa marufuku) tukazomea kwa juhudi sana sasa mimi nikaacha kuzomea nikaanza kumtukana shetani kwa kupaza sauti "SHETANI MAPUM.BU YAKOOOO..." daa aisee li sauti langu lilijikuta lipo peke yake hewani wenzangu wamestop kuzomea mi nikawa namalizia sentense yangu ya tusi huku nimesimama daaa niliona aibu mpaka wakanitoa nje ya ukumbi kwa sababu kila mtu alinitazama mimi kuonesha kuwa mimi ndie nilieropoka tusi.
POMBE ZILIISHA NILIJISIKIA VIBAYA MNO MBAYA ZAIDI KULIKUWA KUNA DEMU WA JANGWANI HUWA NAMFUNDISHA HESABU HUWA ANANIKUBALI NIKAJIONA NIMEZINGUA BALAA.
NIMECHEKA HADI NIMELIA DAH
 
Kuna siku nilikuwa nimechacha, nikampigia simu mshikaji wangu mmoja, akaniambia niende ofisini kwake. Jamaa akanirekebishia mambo nikasepa zangu. Nikiwa njiani mshikaji wangu mwingine akanipigia simu tukutane mahala, nikamwambia sina kitu. Akanielekeza mahala niende atanikuta hapo, nikifika nijtambulishe nitahudumiwa. Kweli nikafika nikaagiza kinywaji huku namsubiri jamaa. Ghafla akaingia yule jamaa aliyenipiga tough. Akakuta meza iko safi. Alinisalimia kisha akaenda kukaa meza nyingine. Kwa kweli nilijisikia vibaya, Kwa sababu nilihisi jamaa atakuwa amedhani pesa yake niliyompiga mzinga ndiyo naiteketeza. Hili tukio limetokea zaidi ya miaka 10, lakini mpaka leo nalikumbuka kwa sababu sikupata nafasi ya kumueleza jamaa hali halisi
TEHETEHETEHE IT HAPPENS
 
Daaaaahh.....ngoja na mim niwape yangu hyo ambayo mpka leo nikikumbuka najiskiaga aibu sana aisee..

Nilikua nasoma secondary boarding flan huko mbeya.......sasa kuna kipindi nilichacha sana yani sina hata mia......nikaona nifunge safar niende mbeya mjini nikampe salam sister angu ili nikiwa naaga wakati wakuondoka anipe hata buku ten isaidie upelelezi.

Sasa nilipofika nikakuta katoto kake nlikokaonaga kipindi kachanga kamekua kakubwa ka miaka kama mitatu hivi.....kasumbufu, utundu kama wote afu kametokea kunipenda kinoma.....na wengine wengi tu walikuepo....familia kubwa tu

Sasa nikiwa nimekaa seblen kwenye sofa zito kinoma nacheki tv mida ya saa mbili, nikashangaa yule mtoto kaniletea kasahan kadogo kamewekwa chips mayai ndani yake ( wametengeneza jikoni), yule mtoto mi hakunipa maelezo yoyote bhana, bs mi nikapokea nikaanza kujipigia taratibu kiepe yai huku nakula mahabari ya ITV, yule mtoto kakaa pemben yangu ananiangalia mpka namaliza asiseme kitu......na ndugu wengine wanaendelea kupiga tu story pale seblen,

Sasa nikaanza kugundua kama wananiangalia angalia ile sana flan hv afu kwa mshangao huku wanazuga kama wanaendelea na story zao(wengi wao nlikua sijawazoea) basi mi nikamaliza kiepe nikamgea dogo sahan arudishe,,,,,, nikashangaa dogo anapokea sahan huku analia,,,,

,,( kwa mbaaaali ikaskika sauti ya mama ake tokea jikoni) " unalia nin"" dogo akajibu "" Huyu uncle mmechema nimpe aniliche lakn yeye akula yote peke yakeee"

YANI KUMBE KALE KACHIPS YAI DOGO ALIPEWA ANILETEE MIM NI MLISHE BHANA ( tena kalikua kadogo kweli yani kwangu mm ni kakugonga uma tano tu kameisha,,, lakn yote hayo sikuwaza,,, mi nikakagonga hivo hivo nikijua labda nimepewa nipooze njaa huku nikisubiri nipate cha usiku,)

Wale ndugu waliokuepo seblen nao wote wakaenda jikoni,, basi huko nikawa naskia mabishano mala wananong'oneza yn tafrani tu,,,,

Aibu nliojiskia sku hiyo mpaka leo huwa inanitafuna yani,,,,,YANI NILIJISKIA AIBU KINOMA,,,

Walivo wapuuzi,,, nikashangaa baada ya chakula kuandaliwa sasa mezani, yani kile cha usiku... Nikaona watu wakaa taratibu mezan wamejazana wanagonga msosi mi wameniacha seblen nacheck tv hata wasiniite nijazie vzuri tumbo,,,,,yani wakaona kale kakiepe yai kamtoto nilikokula badala ya kumlisha et kamesha nipa shibe,,,,, nkashangaa mpka viombo vinarudi jikoni siitwi,,,,tena vinarudi vikiwa empty. Afu kumbuka mi ni mgeni jaman,,,,,,,, Njaa ilioniuma ule usiku tena ya kutopenda daaaahh ilikua noma sana

Kesho yake sister asubuhi alipotoka tu kwenda kazini na mm faster nkachoropoka kurudi shule, mana nikaona nimesha haribu hapa hapafai tena kupiga mzinga,
DESIGN HUKUWA HURU KUONGEA KWA SISTER...ILA NIMECHEKA AISEE
 
Daah umenikumbusha enzi za balehe nilikuaga na misala km yote...
Ilikua HV kipnd kabla ya hata hz digital enz za analogia home walifunga ungo so kulikuwa na machaneli mengii sasa kulikua na Chanel ya south Africa ilikua ikifika night Kali wanaweka mambo yetu(watoto wa mjini wanaita pilau) so nilikua mzee wa hzo mambo nachekiii nikiona nmezidiwa napga na sabuni k1 naenda kulala.
Za mwizi 40 siku hio nmejiachia zangu seblen nachek pilau langu huku nabadlisha gear tu kwa asumani jicho moja ile nafika kileleni maara paap mzee Huyo katokea ASA skujua alifkaje bla mm kusikia maana kwa waliowah kufanya mchezo huu wanajua jinsi vle MTU huwa na machale km yote,basi ile hamad faza huyu hapa ila asikwambie MTU nilikua ndo nko harakati za mwsho nkamaliza pale pale mbele ya faza.
Kipnd netwk inarudi nilwashwa kibao kilichofuata kipgo cha mbwa koko sasa kutokana na lile purukushani pale sebleni LA kipgo nyumba nzima ikaamka na majiran wengne walitoka wakidhan tulivamiwa kesho yake ndo ilikua story pale mtaan daah ilikua aibu moja matata mno.
HAHAHAHA
 
Aisee, kulikua na msiba sasa tumesafiri mpk msibani ,hiyo misosi sasa mara makande, wali mixer makabichi ilo tumbo sasa:rolleyes:, nakumbuka ilivofika jioni nikaambiwa ntalala ukumbini kwa wafiwa , sasa ule uchovu wa safari nikawahi zangu kulala huku wafiwa na wengine wakipigapiga stories+maombolezo, sasa nikapitiwa na kiusingizi lakini kwa mbali kama ndoto hivi nikaskia kama kiushuzi kinatoka hivi,aisee kumbe ni bonge la ushuzi lenye sauti kubwa limeniponyoka nikashtuka nakuta watu wote wamekaa kimya kama wameduwaa hivi wananiangalia , niliona aibu mnooo, nikauchuna kimya mpk asubuhi naogopa hata kuwasalimia ,nikahama zangu mimi:p
RAHA SANA UKICHEKA UNAKIMBIZA STRESS
 
Mi kuna kitu kimenitokea wiki ilopita tu...ilikuwa hivi, kuna rafiki angu huwa tu napenda taniana sana...sa juzi Niko kwenye daladala ile foleni nikaingia Watsapp bhana. Nikakuta ka clip flan kabla hujadownload ni ka kuna vikatuni si nikahisi ni kitu cha kawaida, labda ni katuni afu ukizingatia ni mdada kanitumia sikuwa na hili wala lile.
Bas bhana ile nimefungua, sikuwa nimeweka earphone ( shetani huyu)
Si ikaanza kuonesha...mwanzo ni kama katuni zinacheka ghafla si ikawa porno yaani mshtuko nilioupata...sikujua nifanyeje. Na sauti ilikuwa kubwa kupunguza sauti nashindwa. Nikalizima lisimu, watu wote macho kwangu. Na safari niliishia hapo nikashuka. Ila ile aibu ilikuwa ya kufungia mwaka.
I DONT WATCH WHATSAP VIDEOS IN PUBLIC BECAUSE I DONT TRUST MY FRIENDS
 
Kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa pili nikarudi home maeneo ya Ukonga Mombasa pale. Sasa kuna demu mkali nilikuwa namfukuzia yeye alikuwa kamaliza form 6 alikuwa anakaa maeneo ya Mombasa mazizini. Huyu demu alikuwa anasoma kozi ya computer maeneo ya Gongo la mboto sasa njia alokuwa akipita kuna uwanja wa mpira mara nyingi vijana wanamsumbua sumbua. Siku hiyo bhana ndio first time demu anakubali kuongozana na mimi nikamsindikiza tukapita uwanjani wakati wa kwenda akaniambia akitoka pindi nimfuate. Kidume nikapendeza kibishoo zaidi nikamfuata mtoto mida ya saa 11 namrudisha kwao sasa si ndio tukapita uwanjani pale majamaa yakaanza kumuita yule kibaya zaidi demu akajiamini sana akawa anajibu hovyo mi namwambia tulia wakaushie usiwajibu huku kimoyo moyo najiambia huyu mbwa anataka kuniponza. Bhana wee jamaa wakamind wakamfuata sasa demu akawa jasiri akinitegemea na mimi sikutaka kukaa kinyonge nitafute point kwa demu maaanina kilichotekea hapo nilijikuta nakunywa maji kwa kutumia mrija domo limevimba vibaya mdomo wa juu umepasuka jicho limetia weusi. Baada ya wiki nakutana na yule demu ananiuliza vipi maendeleo dah kujibu ilikuwa noma sana mwanaume nimepigika kibaya zaidi na mzigo sikupata, mbwa yule alininyima utamu wake.
ALIKUWA NA AKILI ZA KITOTO NDIO MAANA
 
Daaah!!! Umenikumbusha mbali sana mkuu!! Enzi za (nyege mshindo) balehe balehe huwa zinaaibisha sana. Nakumbuka enzi hizo nikiwa nasoma bana, ilikuwa form two, shule moja iko Tarakea kilimanjaro, maisha ya boarding yana utamu na uchungu wake, wakati huo kitabu kimekaza mbaya, huku na huku nyege nazo zimenikazia haswa. Kipindi hicho nyege haziskii maharage ya mafuta ya taa wala uji wa malimao sijui mandimu ndimu yao yale.
Basi bwana, kuna manzi mmoja hivi nilitokea kumuelewa haswa, kiukweli nilimzima, alinichanganya nikachanganyika, alinishika nafsi, roho na mwili. Yaani kwenye msosi nawahi ili nimuone, darasani kwao naenda ili nimuone, prepo naenda ili nimuone, naenda kusali kwao ili nimuone tu moyoni nisuuzike..., Ishu ilikuwa ni kuongea nae, yaani hata nimsikie tu ilikuwa ni ishu haswa, Aibu aibu zile ukichanganya na ukame niliokuwa nao vilinifanya niwe muoga kutupa verse na sound zangu.
Sasa bana, kumbe katika kusota koooooote huko kuna Fala (sijui ndo Bwege sijui ndo Snitch) mmoja hivi alikuwa anafatilia nyendo zangu kimya kimya, yaani kila nachofanya huyo Fala aona, wakati huo mi sina hili wala lile naendelea kamsaka mrembo wangu kimya kimya,
Siku moja bana nikiwa zangu uwanjani nafanya mazoezi akaja dada mmoja hivi msela wangu sana, akanambia " J ukitoka mazoezini unione nna ujumbe wako" mi nikamwambia poa. Badae nikamtafuta akanambia "kuna mtu kanipa barua nikupe ye anaogopa kukupa mwenyewe". Akanambia Anaitwa Xxx, ni yule manzi anaenichanganya. Sikuhoji nikapokea nikasepa zangu dom kuisoma. Daaaaaaaah aisee ile barua ilikuwa tamu kinyama full malavidavi, malove love ya mikuki mikuki yale yalikuwepo mengi mengi tu, madedication ya sijui west life na wazungu gani gani huko yalikuwepo ya kutosha, maua maua ndo usiseme, yaani badala ya kutongoza nilitongozwa mimi na demu niliyekuwa namtaka. Chap chap nikaenda zangu dukani, nakumbuka nilinunua makaratasi yale yenye maua maua na marangirangi ili nijibu ile barua, wakati huo kumbe yule Fala ananicheki tu mwanaume navyohangaika na kuweweseka, Daah we acha tu hapo ndo aibu yangu ilipoanzia. Nikawatenga masela zangu kwa muda ili nipate wasaa mzuri wa kujibu ile barua, mwanaume nikaanza kuremba mwandiko, kalamu sijui nyekundu, bluu kijani nyeusi zote nilitumia. Niliandika barua kama naomba kazi vile, sijui saini, majina nilibandika vyote ili kukazia hisia zangu. Kumbe ndo naenda kuaibika, Yaani kumbe barua hakuandika yule dada wala alikuwa haelewi chochote mtoto wa watu, Aisee ile barua yangu ilitembezwa karibia shule nzima, Nilitamani kuacha shule Ila nashukuru Mungu yule manzi nilimfata nikaongea nae nikamuonyesha ile barua iliyotumwa kwangu, alivyoisoma alielewa na akanisamehe. Maisha yakaendelea, kufanya fanya uchunguzi nikaja kumjua m-baya wangu, kumbe nae alikuwa anamtaka manzi Ila akaona njia ya kumpata ni kuniharibia kwa njia ile, na yule manzi akanithibitishia kabisa kwanza jamaa anatabia flani hivi za kuwasema sema ovyo masela anapokuwa anapiga story na mademu.
VI SNITCH KAMA HIVO HAVIFAI KABISA..KIJAMAA KILIKUWA KINAAA KWELI...BORA DEMU ALIKUELEWA
 
Aaah nmecheka sana..! Habari za wakuu hapa zinafurahisha sana kwakweli. Kwa upande wangu ninamajanga mengi sana. Yaani ni mengi mpaka nashindwa nianzie wapi. Halafu kibaya ninakumbukumbu mpaka najiogopa..! Kuna mambo yametokea nikiwa na chini ya miaka mitano but nakumbuka mpaka leo!

Ninachojikubali ni kwamba mshipa wa aibu ulishakataga and so hakuna tukio hata moja linalonisumbua kimawazo. Nitayaweka kimtiririko kulingana na namna ninavyoyakumbuka.
1. Hii nadhani nilikuwa na miaka kama minne au mitatu. Hapa nakumbuka kwa juujuu but ile sense ya aibu bado ninayo kwambali sana. Nakumbuka nilikuwa nacheza michezo ya kitoto then nikajikuta nataka kurudi ndani (sijui nifata nn kule ndani) but kilichofanya nione aibu ni baada ya kuingia bila ya kupiga hodi na kumkuta bimkubwa akivaa nguo. Nachokumbuka ni kufukuzwa kama mwizi na nilitoka mbio kweli maana daah bi mkubwa alikuwa mkali balaa.

2. Hii nakumbuka niliamia kwa mdingi. Kipindi hiko faza alikuwa anauza mitumba maeneo ya manzese. Hii nadhani ilikuwa miaka ile ya 90. Mzee alikuwa anapata faida nzuri kutokana na biashara ile and so home misosi mizuri ilikuwa haikatiki. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa asubuhi kama saa mbili hivi kumepikwa chai nzito balaa..! Kulikuwa na ndizi za kukaanga, mayai ya kuchemsha, kulikuwa na kuku wa kukaanga pia huku tukishushia na maziwa mazito yenye kahawa maridadi kabisa.
Kama kawaida ya watoto wa uswazi, tunapenda kula balaa..! Basi kidume nilikula mpaka nikawa nashindwa kupumua vizuri. Sikukoma. Nikaendelea kubugia mindizi na vipapatilo vya kuku. Ilifika kipindi nikawa naona kama kimba inagonga mlango wa kutokea but mwanaume sikujali..! Nikawa nasongobeka mayai kama yote..! . Habari iliishia nikiwa nmejinyea palepale kwenye mkeka. Aibu yake ilikuwa nzito balaa..! maana nilichekwa na majirani wote na nikalazimishwa nifue bukta yangu palepale. But kama nilivyosema kuwa mshipa wa aibu ulishanikatikia huku kichwani maana ilinichukua dakika chache nikawa namie ni mmoja ya wale wanaonicheka..! yaani story zikipigwa kunihusu mie na mie nachangia hapohapo.

3. Kipindi kile kile nadhani within two years nikiwa na miaka kama 6 hivi nikaja kubambwa na bimkubwa wa kambo ninamfanya mchezo mbaya mtoto wa kike wa jirani
Yaani hata sijui tulianzana vipi but nakumbuka tulikokotana mpaka nyuma ya nyumba ninayokaa, kale katoto kakashusha chupi mie nikalitoa dudu langu lisilotairiwa nikaligusisha kwenye kinena cha yule mtoto nikaona tayari hapo mambo yameshamalizika nikamkumbatia ngangali huku nasikilizia utamu. Ile kustuka tumezungukwa na wamama kama watatu hivi..! Wakatudaka mie nikaporochoka mbio naelekea kwa mama mzazi. Yule mwenzangu hakuwa na pakukimbilia wakamdaka wakampa stick kaa zote nakumbuka nilirudi home kama saa tisa hivi na hapo ni baada ya kutomkuta mama mzazi na kuamua kurudi tena kwa baba. Nakumbuka mama wa kambo aliteam up na majerani wengine walisema na kunitia masingi huku kidume ninaangalia chini kwa aibu kubwa..! . Offcourse haikupita nusu saa nikawa naendelea na mengine maana aibu ilishaisha..! hasa ukizingatia nilikuwa naonekana legend kwa madogo wengine hasa ukizingatia mie ndo nilikuwa wakwanza kugonga demu (hata kama nikugusisha kwenye kinena tu)

4. Nakumbuka kipindi nipo darasa la nne nilikuwa nasomaga masomo ya jioni palepale shuleni. Sasa kutokana na ukata baada ya mzee kufariki nilijikuta nashindwa kupata baadhi ya mambo ya kishule mpaka nikawa naitamani rula ya mdada mmoja pale darasani. Wakati nafanya swali kazi jibu niliiazima kama mara tatu hivi. Na kila mara nilipoitia mkononi na ndivyo nilivyozidi kuzimikia. Basi ubongo ukasema hii lazima iwe yangu. Kidume nikailia taimingi nikaiazima then kabla sijamrudishia nikawa nimeificha.
Dada kamaliza kufanya hesabu anaitaka rula yake na mie nmeshaificha kwenye bag tayar. Mdada kaniuliza rula yangu ipo wapi mie namwambia sijui ilipo.
Kwa akili zangu za kitoto nilijua baada ya kumjibu vile basi angeshukuru mungu na kuendelea na mambo yake kumbe mwenzangu ajapanga kabisa kufanya hivyo..! Asiende kumwambia mwalimu nn..?! Aisee akili ikaniruka hasa niliposikia mwalimu anasema ataanza kukagua bag la mmoja mmoja..! Daah nikaona leo wizi utanitokea puani..!
Maamuzi yaliokuja kichwani ni kuitupa nje ile rula ili kupoteza ushaidi. Basi nikazuga zuga nikaitupa nje. Ubaya ukaja kuna lijamaa likaniona wakati napoteza ushahidi bana, silikaanza kupiga kelele likimuita mwalimu kwa jina lake aje ashuhudie namna mwizi mie ninavyopoteza ushahidi..! Aisee nilitamani ardhi ipasuke niingie ndani..!
Ticha alinichezeshea sticki za maana mpaka nikaita mizimu ya kwetu..!
Nakumbuka stick nilikula na nikaambiwa nisimsogelee yule dada hata kwa mita moja..! Sema dada mwenyewe naye alikuwa sijui memkwa yule maana mwaka mmoja baadae aliacha shule baada ya kupigwa mimba.. sometimes huwa najiongopea kuwa eti ile ni laana yangu baada ya kusababisha mie kupigwa na kuaibishwa mbele za watu

5. Hii nakumbuka nipo chuoni (madrasa) napiga pindi kwa ustadhi mara ghafra nnya ikanibana. Natoka nje niende kwenye choo cha madrasa nakuta msululu wa wanafunzi wakisubiri kupata huduma. Akili ikanijia kuwa nishuke bondeni kuna mto utafaa kabisa mie kufanya shughuli zangu. Kidume nafika mtoni nakuta raia kibao zinapitapita nikashindwa hata namna ya kujiachia na kunya kwa starehe. Kama mungu vile pembeni nikaliona Jumba bado halijamaliziwa kujengwa. Mwanaume nikajitoma ndani tayari kufanya mambo yangu. Nimefika nikaanza kulikata gogo bila ya hiyana. Ebana dakika mbili nyingi naona nimezungukwa na raia kama kumi hivi.
Daah pozi lilinikata. Wale raia wakaniamrisha nitafute karatasi zilipo niubebe mzigo wangu niondoke nao..! daah nikasema hamnijui mie..! Nikaubeba vizur kufika mbele nikautupa kwenye mto mbio nilizotoka hapo nadhani kisigino kilikuwa kinagusa kisogo. Huku nyuma nikawa nasikia kelele tu kamata huyooo shika huyooo

Hizi ni baadhi tu ya mikasa iliyowahi kunikumba kwenye harakati za ukuaji
SI AJABU SA HV UNA UTUYLIVU SANA ULIKO UTOTONI
 
Hahahhahaaahahah nimecheka balaa, but inakua inatokea sana hip
Mi kuna kitu kimenitokea wiki ilopita tu...ilikuwa hivi, kuna rafiki angu huwa tu napenda taniana sana...sa juzi Niko kwenye daladala ile foleni nikaingia Watsapp bhana. Nikakuta ka clip flan kabla hujadownload ni ka kuna vikatuni si nikahisi ni kitu cha kawaida, labda ni katuni afu ukizingatia ni mdada kanitumia sikuwa na hili wala lile.
Bas bhana ile nimefungua, sikuwa nimeweka earphone ( shetani huyu)
Si ikaanza kuonesha...mwanzo ni kama katuni zinacheka ghafla si ikawa porno yaani mshtuko nilioupata...sikujua nifanyeje. Na sauti ilikuwa kubwa kupunguza sauti nashindwa. Nikalizima lisimu, watu wote macho kwangu. Na safari niliishia hapo nikashuka. Ila ile aibu ilikuwa ya kufungia mwaka.
 
Dahhhhhh, ww ulipata mtihani mkubwa kuliko wote humu, pole sana jibaba. hawa madem dah
Kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa pili nikarudi home maeneo ya Ukonga Mombasa pale. Sasa kuna demu mkali nilikuwa namfukuzia yeye alikuwa kamaliza form 6 alikuwa anakaa maeneo ya Mombasa mazizini. Huyu demu alikuwa anasoma kozi ya computer maeneo ya Gongo la mboto sasa njia alokuwa akipita kuna uwanja wa mpira mara nyingi vijana wanamsumbua sumbua. Siku hiyo bhana ndio first time demu anakubali kuongozana na mimi nikamsindikiza tukapita uwanjani wakati wa kwenda akaniambia akitoka pindi nimfuate. Kidume nikapendeza kibishoo zaidi nikamfuata mtoto mida ya saa 11 namrudisha kwao sasa si ndio tukapita uwanjani pale majamaa yakaanza kumuita yule kibaya zaidi demu akajiamini sana akawa anajibu hovyo mi namwambia tulia wakaushie usiwajibu huku kimoyo moyo najiambia huyu mbwa anataka kuniponza. Bhana wee jamaa wakamind wakamfuata sasa demu akawa jasiri akinitegemea na mimi sikutaka kukaa kinyonge nitafute point kwa demu maaanina kilichotekea hapo nilijikuta nakunywa maji kwa kutumia mrija domo limevimba vibaya mdomo wa juu umepasuka jicho limetia weusi. Baada ya wiki nakutana na yule demu ananiuliza vipi maendeleo dah kujibu ilikuwa noma sana mwanaume nimepigika kibaya zaidi na mzigo sikupata, mbwa yule alininyima utamu wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom