Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

Hahahahaaa noma
Kuna siku shuleni muda wa break nilikunywa chai vitumbua, aiseh kumbe vilikua vimezidi mafuta na mwanzo sikujali sababu ya njaa. Ile class pindi linaendelea me naugulia tumbo basi ticha akaniotea niende nika solve swali, tumbo nalo ndo likakaza vyuma ile na pinda pinda kupata pozi la kubalance maumivu bonge la shuzi likatoka lililia ka kombora la masafa marefu. Kila mtu alicheka aiseh, kuna mtoto nilikua namuimbisha anakaribia kukubali toka siku hiyo akaniambia kuanzia leo usinijue kijana mdogo shuzi ka la punda si unaweza ukanijambia geto wewe mtoto wa watu nikafa bure nikamjibu kwani ulitaka ufe na ela kwanza ushuzi ni kupumua, nakumbuka nilikata class wiki mbili home nimesingizia naumwa kurudi hivi class kila mtu ananicheka yule mtoto nae wahuni washampitia basi tena nikawa mpenzi mtazamaji.
 
Mkuu mm nakumbuka tulikuwa kwenye kikao cha harusi,nikawa nimevaa suruali ya kitambaa,wakati kikao kinaendelea gafla nikashikwa na haja mdogo,nikaenda toilet sasa ile natoka tu nikateleza katka ngazi kutokana na maji mpaka nikaangukia goti ,sasa ile nanyanyuka kumbe suruali iliachia nyuzi zote pale kati na pumbu ziko zilikuuwa nje ya chupi,watu wanacheka hawana mbavu ile kujiangalia dah!!! Pumbu imebanwa imevimba upande kwa nje kama jipu kwa aibu nikasepa huku nikiacha vicheko tu, siwezi sahau
Hahahahah KOROSHOWW
 
Hahahahhaahahah
Sitasahau nilikata gambe wakat nikiwa chuo siku hio nmelala nmeamka saa 7 mchana ilikuwa ni mida ya lunch nkajikokota hadi messin nkaagiza ugali na nyama na maharage n.k huwez amini usingz ulinikamata hatari nlikuja kutolewa na washkaji nkiwa nmelala kwnye plate uso wote umejaa maharage na michuzi
 
Nakumbuka tena kipindi mdogo sana miaka kama tisa hv enzi hizooooo,,,,nikiwa natoka skuli nikaokota kipakti cha kondom,,, nikafungua nikakuta zipo tatu....lakin niliku sijui kwamba ni vinini hivi....bs nikafungua moja nikakuta inavutika vutika na ipo kama pulizo.......

Basi nikapulizaaaaaa likawa kubwaa nikalifunga kwa juu nikajaa fresh afu nikawa natembea nalo tu barabarani huku limejaaa......sasa nashangaa natembea nalo nalichezesha chezesha mkoni lkn watu napishana nao kama wananishangaa hivi...........((..nikajua tu aah wanalishangaa sababu nao hawalifahamu,,,,,labda hata wanalitamani bhanaaa))))

Sasa mbeleni kdgo wakati nambea likapasukaa,,,,,,kufika home nikakuta wageni kibao toka kwa bibi na bibi mwenyewe,,, wamekuja wamejaa sebleni nikawapa salamu nikazama gheto,,,,,nkachenji nguo nkatoka.....pale sebleni palikua na kisinki flan kinabomba bhanaa,,,,sasa kikawa kime haribika kina mwaga maji baraaa na kinawatesa na kila mtu analalamika kweliii ynnn....

Nikaona isiwe tabu....nikaenda nikachukua pakti moja ya kondomu nikafungua nikaenda nayo mpka seblen pale,,,,,( walikuepo hao wageni pamoja na bimkubwaa,,,,,mi nilikua mpenda sifa sanaaa mbele ya wageni))) basi kufika pale nikachukua ile kondomu mpka pale seblen kwanza nikalipulizaaaaa likajaa kinomaa.....ghafla wote wameacha story wananishangaaa kinoma afu wapo kimyaaaaaa,,,,,,(( nikajua tena nao hawa washamba kama tu wale wa barabarani wanalishangaa pulizo la ajabu))) bs nikalitoa upepo nikaanza kufungia pale kwenye bomba fresh kabisa bomba ikaacha kumwaga maji......nikarudi chumbani huku natembea kigenious kinomaaa,,,,,(wao mda wote huo wameduwaa tuuu)))

Kufika chumbani ile naingia tu nakuta na bimkubwa nae anafungua mlango anaingia,,,nikajua kaja kunipongeza bhana,,,,,,sasa mkononi kashika mwiko mmoja hivi mkubwa kinoma hata sikuwahi kuona ukitumika,,,,,

Nikashangaa "" twaaaaaa""" kanipa kimoja cha mgongoni,,,,kabla sijajiuliza nikashangaaa kingine "" twaaaaaaaa""" cha mbavu..........ile bado nina wengee nikashangaa tena ""twaaaaa twaaaaa twaaaaaa twaaaaaaa,,,,,,yn basi baada ya dk moja vikawa vinashuka vichapo vya mwiko kila kona ya mwili.....yani nilikula kichapo ambacho mpka leo hata bimkubwa anakikumbuka,,,,,,,,bila wageni kuja kumkataza sku ile angenipa kichapo mpaka jua linazama,,,,,,mana alinipiga mpka jasho likawa linamtoka afu haniambii nimekosa nini,,,.......ni mwendo wa dozi tu kimya kimyaa.... Ilikua noma ile......
Mkuuu nimecheka balaaaaaa, ww ulitisha kudadekiiiii, halafu kama nakuona ivi mkuu hio story
 
Nikiwa na miaka 9 kijijini tulikua tunaoga kwenye mto alafu ni watu wa rika mbali mbali basi nikawa na tabia ya kushangaa sana kuwaona wale watu walionizidi umri wameota nywele sehem zao za siri, na mimi nikawa na shauku kweli ya kuota izo nywee, bwanae nikapata akili ya kuokota nywele zilizotupwa nikatafta na minyaa nikajibandikia rundo la nywele kwenye sehem zangu za cri, kidume nikaenda home alaf nikamkuta bi mkubwa anapika nikachukua sabuni na uzi mimi mbio mpka mtoni, nikawakuta wakubwa wanaoga na mimi nikajitosa kuoga nilivyovua2 nguo wakaanza kushangaa wale wakubwa na mimi naona ujiko kweli, walinikamata nilipewa kibano mpka nikaongea, nikapelekwa kwa Bi mkubwa uko ndio nilienda kupewa kipigo tukufu, kumbe ile minyaa nilijishika kwenye dushe wakati nabandikia zile nywele, dushe lilivimba kesho yake kama kichwa cha kobra mkojo ukawa hautoki nilipelekwa Hospitali mbona, kimbembe kilikuja kwenye kuyabandua yale nywele nilipata maumivu makali sana, mpka Leo naona aibu sana mbele ya familia japo ni miaka mingi imepita
Aisee...
 
Wakati naanzaw maisha nilifikia kwa ndugu yangu mmoja
Alikua anaweka kila kitu kwenye jokofu, Ila mkewe hakuruhusu kitu kitoke bila yeye kutoa,

Sasa siku hiyo nikawa natamani sana soda, nikafungua jokofu nikanywa soda,nikabakisha kidogo ili nijaze maji,

Ile naanza kumimina maji kwenye ile chupa yenye soda kidogo,hamadi!
Yule Mama huyu hapa, akanifuma mzima mzima aliongea sana,
Sikuchukua wiki nikahamia kwa rafiki!
Mpaka leo sijawahi kufika kwenye ile nyumba
Aisee mbona majangaa...!!
 
Nakumbuka Enzi hizo nilikuwa Nasafiri kwenda Rwanda na taqwa..... basi Tumbo likaanza kunisumbua na bus letu lipo Katika folen ya Kukaguliwa .....tumbo likachachama nikaamua Nishuke nikaangalia kwa mbali nikaona Kama nyumba nikajisogeza maeneo hayo Nikamkuta mama wa makamo anasonga ugali basi Nikamsalimia nikamwambia naomba niingie chooni Akasema maji hamna, Kama naenda haja ndogo ni sawa lkn Kama Kubwa Hapana( Choo kilikuwa kimefungwa na kufuli na ufunguo ameufunga fundo katika khanga ) basi Nikamjibu haja ndogo ...nikaingia ebanaeeee Mzg niliujaza kwenye kale kasink sema nilikuwa na tissue na chipa ndg ya maji nikajisafisha ....sasa kimbembe Kutoka nikafunga nikamrudishia ufunguo nikasepa lahaula kumbe Nimesahau simu chooni Dah.... Ikabidi nirudi kwa kasi nikamkuta Maza Kafungua chooni anapahakiki Dah.... Mainzi yameshajaa Dah niliona aibu mama aliwaka kishenzi.... Ikabidi Nimtoe uten nikasepa
Hahahahha mkuu ilikua day ya aibu
 
Siku hiyo wataalam wazibua choo waliletwa home spesheli kwa kuzibia chemba lilikuwa limeziba!!zibua na weee wakatoa kondom zilizotumika kama 9 hivi!!hapo hom kidume niko mwenyewe.maza akaanza kuuliza hizi kondom zimetoka wapi??!!hajapata jibu hapo mi nipo na misheni zangu town.maza akaona hapana akaanza kupekua magetoni kwangu akakutana na burungutu la kondom refu kama majani ya chai yale ya vipakti.nadhani mnazifaham zile kondom za msaada huwa zinawiwa bure...
Aseee siku hiyo nilisemwa afu mbele ya masista swali lilikuwa ulikuwa unafanyia nini kondom hizo??!!!hadi leo hii bi mkubwa sikumpaga jibu nilibaki nalo kwamba nilikuwa nalia nyeto hizo ndom
Hahahah hii aibu
 
Hahahhaaaaa haya matukio yetu kama yanafanana ivi
Wakati naanzaw maisha nilifikia kwa ndugu yangu mmoja
Alikua anaweka kila kitu kwenye jokofu, Ila mkewe hakuruhusu kitu kitoke bila yeye kutoa,

Sasa siku hiyo nikawa natamani sana soda, nikafungua jokofu nikanywa soda,nikabakisha kidogo ili nijaze maji,

Ile naanza kumimina maji kwenye ile chupa yenye soda kidogo,hamadi!
Yule Mama huyu hapa, akanifuma mzima mzima aliongea sana,
Sikuchukua wiki nikahamia kwa rafiki!
Mpaka leo sijawahi kufika kwenye ile nyumba
 
DAY 1 MOM KANITUMA MIKATE BEKARY SO KWA BAHATI MBAYA BEKARY IKO MBALI SO ITABIDI NICHUKUE BAISKELI YNGU ALAF ILIKUA USIKU KAMA MIDA YA SAA 2 IVI, WAKATI NAENDESHA BASKELI YNGU NIKAPITA SEHEMU INA KILIMA YAANI NILIKUA NASHUSHA SO NILIKUA NA KASI YA AJABU, ALAF IYO SEHEM KULIKUA KIMYA NA MITIMITI MINGI, PIA WATU WENGI WANASEMA HIO SEHEM SIO NZURI WAKATI WA USIKU COZ INAKUA NA VITIMBI VINGI SANA ILA MUHUNI NILIJIPA MOYO COZ NILIKUA NA KIPANDO, WAKATI NIKO KWENYE MWENDO MKUBWA MBELE YANGU KULIKUA NA SHIMO DOGO SANA KIASI AMBACHO SIO RAHISI KUANGUKA, BUT RINGI YA MBELE YA BAISKELI ILIINGIA KWENYE SHIMO LILE NILIPIGA NGEMA KUBWA YAANI (NILIANGUKA ) MAGOZI YA MIGUU NA MIKONO, DAMU KILA SEHEMU YA MWILI, KTK ILE KASI YA KUANGUKA NILIANGUKIA CHINI YA MIGUU YA MANZI KTK MAISHA YANGU SIJAWAHI KUMUONA YULE MDADA, TOTO LA KIARABU DADEKI ANANUKIAAA YAANI MM NIKO CHINI YA MIGUU YAKE MAUMIVU MAKALI MWILINI, DEMU AKANIULIZA KWA MSHTUKO VP UMEUMIA ??? DUH NIKAJIKAZA NIKAMWAMBIA KWA UPOLE SJAUMIA UKU SIMUANGALII VIZURI USONI, AKANIAMBIA KAMA UMEUMIA NIKUPELEKE SPITALI (DAMU KARIBIA SEHEM NYINGI ZA MWILI ZINANITOKA) COZ PALIKUA NI SEHEM YA KIZAKIZA KAMUANGAZA SIO MKUBWA NIKAMUAMBIA NIKO SAWA, NIKACHUKUA BIKE YNGU RINGI ZIMEPINDA NIKASEPA NAYO IVYOIVYO COZ BAADHI YA WATU WALIANZA KUKUSANYIKA NA BAADHI WANANIJUA, NIKASEPA HUKU MACHOZI NA MAUMIVU MAKALI, NIKAENDA KUSIMAMA MBELENI NA KUANZA KUJIANGALIA KIDUME NIKANUNUA NILICHOTUMWA BUT HME SKUSEMA KILICHONIKUTA BUT MAMA ALISHTU DAY YA 2 BAADA YA KUGUNDUA NIMEAMKA NAUMWA ALAF NGUO ZANGU ZIMEROA DAM.
 
Tulienda Easter Conference iliyokuwa inafanyika pale ST METHEW secondary sasa sisi wahuni wa Azaboy tukaenda kunywa pombe tukarudi ukumbini sasa kuna mhamadishaji mmoja alikuwa anagawa lecture ya mafunzo kuhusu vijana.
Si akaanza na kusema "vijana wa Mungu mshangilieni Mungu watu wakapiga makofi na vigelegele baadae akaja kusema "vijana wa mungu mzomeeni shetani"daa hapa mimi na rafiki zangu tuliokuwa tumekunywa viroba (enzi zile havijapigwa marufuku) tukazomea kwa juhudi sana sasa mimi nikaacha kuzomea nikaanza kumtukana shetani kwa kupaza sauti "SHETANI MAPUM.BU YAKOOOO..." daa aisee li sauti langu lilijikuta lipo peke yake hewani wenzangu wamestop kuzomea mi nikawa namalizia sentense yangu ya tusi huku nimesimama daaa niliona aibu mpaka wakanitoa nje ya ukumbi kwa sababu kila mtu alinitazama mimi kuonesha kuwa mimi ndie nilieropoka tusi.
POMBE ZILIISHA NILIJISIKIA VIBAYA MNO MBAYA ZAIDI KULIKUWA KUNA DEMU WA JANGWANI HUWA NAMFUNDISHA HESABU HUWA ANANIKUBALI NIKAJIONA NIMEZINGUA BALAA.
 
Nakumbuka tena kipindi mdogo sana miaka kama tisa hv enzi hizooooo,,,,nikiwa natoka skuli nikaokota kipakti cha kondom,,, nikafungua nikakuta zipo tatu....lakin niliku sijui kwamba ni vinini hivi....bs nikafungua moja nikakuta inavutika vutika na ipo kama pulizo.......

Basi nikapulizaaaaaa likawa kubwaa nikalifunga kwa juu nikajaa fresh afu nikawa natembea nalo tu barabarani huku limejaaa......sasa nashangaa natembea nalo nalichezesha chezesha mkoni lkn watu napishana nao kama wananishangaa hivi...........((..nikajua tu aah wanalishangaa sababu nao hawalifahamu,,,,,labda hata wanalitamani bhanaaa))))

Sasa mbeleni kdgo wakati nambea likapasukaa,,,,,,kufika home nikakuta wageni kibao toka kwa bibi na bibi mwenyewe,,, wamekuja wamejaa sebleni nikawapa salamu nikazama gheto,,,,,nkachenji nguo nkatoka.....pale sebleni palikua na kisinki flan kinabomba bhanaa,,,,sasa kikawa kime haribika kina mwaga maji baraaa na kinawatesa na kila mtu analalamika kweliii ynnn....

Nikaona isiwe tabu....nikaenda nikachukua pakti moja ya kondomu nikafungua nikaenda nayo mpka seblen pale,,,,,( walikuepo hao wageni pamoja na bimkubwaa,,,,,mi nilikua mpenda sifa sanaaa mbele ya wageni))) basi kufika pale nikachukua ile kondomu mpka pale seblen kwanza nikalipulizaaaaa likajaa kinomaa.....ghafla wote wameacha story wananishangaaa kinoma afu wapo kimyaaaaaa,,,,,,(( nikajua tena nao hawa washamba kama tu wale wa barabarani wanalishangaa pulizo la ajabu))) bs nikalitoa upepo nikaanza kufungia pale kwenye bomba fresh kabisa bomba ikaacha kumwaga maji......nikarudi chumbani huku natembea kigenious kinomaaa,,,,,(wao mda wote huo wameduwaa tuuu)))

Kufika chumbani ile naingia tu nakuta na bimkubwa nae anafungua mlango anaingia,,,nikajua kaja kunipongeza bhana,,,,,,sasa mkononi kashika mwiko mmoja hivi mkubwa kinoma hata sikuwahi kuona ukitumika,,,,,

Nikashangaa "" twaaaaaa""" kanipa kimoja cha mgongoni,,,,kabla sijajiuliza nikashangaaa kingine "" twaaaaaaaa""" cha mbavu..........ile bado nina wengee nikashangaa tena ""twaaaaa twaaaaa twaaaaaa twaaaaaaa,,,,,,yn basi baada ya dk moja vikawa vinashuka vichapo vya mwiko kila kona ya mwili.....yani nilikula kichapo ambacho mpka leo hata bimkubwa anakikumbuka,,,,,,,,bila wageni kuja kumkataza sku ile angenipa kichapo mpaka jua linazama,,,,,,mana alinipiga mpka jasho likawa linamtoka afu haniambii nimekosa nini,,,.......ni mwendo wa dozi tu kimya kimyaa.... Ilikua noma ile......
Pole mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom