Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

chupi za VIP ndio zikoje mdau ndio nasikia leo aisee
Hizi zilitamba sana mwishoni mwa miaka ya 80's na mwanzoni mwa 90's,yaani ndo zilikuwa za kijanja wakati huo na zilikuwa za mpira zinakuwa na mchanganyiko wa rangi.

Kipindi hiko kwa sisi tuliotumia utoto wetu shamba ilikuwa ukienda kuogelea mtoni halafu hujawahi kuonekana umevaa hii brand unachekwa so tulikuwa tunalia na wazee mpaka watununulie.

Nakumbuka miaka hiyo siku nikiivaa kuendea shule {maana ilikuwa ya kuendea Kanisani tu} nilikuwa nachomekea shirt upande mmoja ndani ya chupi ili ionekane na wenzangu ila ilikuwa haiwezi kuhimili purukushani ilikuwa ukicheza mpira kidogo tu hauchelewi kuikuta imeshakatika ipo makwapani inang'ang'ana ipande shingoni,wapevu ilikuwa siku hiyo tukivaa tunatulia tulii.
 
DAH.....MIMI KIPINDI NIPO O`LEVEL NILIKUA NAPENDA SANA KUTANIA WATU.NAMTANIA MTU MPAKA WATU WANACHEKA BASI NIKAWA NAONA SIFA. SIKU NILIINGIA CHOO CHA KIKE NIKAMTANIA JAMAA FLAN AMBAYE UMRI WAKE ULIKUA UMESOGEA MBELE KIDOGO....AISEE JAMAA ALINIPIGA KIBAO MBELE YA DARASA ZIMA NIKAONA AIBU. HUWEZI AMINI WIKI NZIMA NILIKUA NAINGIA DARASANI BILA KUONGEA CHOCHOTE NA UCHEKESHAJI WANGU ULIISHIA SIKU HIYO.
 
Nikiwa na miaka 9 kijijini tulikua tunaoga kwenye mto alafu ni watu wa rika mbali mbali basi nikawa na tabia ya kushangaa sana kuwaona wale watu walionizidi umri wameota nywele sehem zao za siri, na mimi nikawa na shauku kweli ya kuota izo nywee, bwanae nikapata akili ya kuokota nywele zilizotupwa nikatafta na minyaa nikajibandikia rundo la nywele kwenye sehem zangu za cri, kidume nikaenda home alaf nikamkuta bi mkubwa anapika nikachukua sabuni na uzi mimi mbio mpka mtoni, nikawakuta wakubwa wanaoga na mimi nikajitosa kuoga nilivyovua2 nguo wakaanza kushangaa wale wakubwa na mimi naona ujiko kweli, walinikamata nilipewa kibano mpka nikaongea, nikapelekwa kwa Bi mkubwa uko ndio nilienda kupewa kipigo tukufu, kumbe ile minyaa nilijishika kwenye dushe wakati nabandikia zile nywele, dushe lilivimba kesho yake kama kichwa cha kobra mkojo ukawa hautoki nilipelekwa Hospitali mbona, kimbembe kilikuja kwenye kuyabandua yale nywele nilipata maumivu makali sana, mpka Leo naona aibu sana mbele ya familia japo ni miaka mingi imepita
 
Yaani kama mkoba haukosi kitenge, kuna siku nipo Ibadan nikahisi zipu ya gauni inajiachia kwenda kujiangalia haipo kabisa ndiyo kujitanda sipati pic ningetembea vipi
Na hapa ndo utaona kuwa na gari siyo starehe bali ni sehemu ya maisha,
Ni jambo jema kila mwanamke kuiga mfano wako wa kuwa na khanga
au kitenge kama njia mbadala pindi mambo yanapoharibika.

Nimeongeza suala la gari maana ni kama nyumba inayotembea
na inauwezo mkubwa wa kukustiri pale unapojihisi hali ya sintofahamu.
Japo si kila mtu ana uwezo wa kununua,Nasemea wale wenye
uwezo ila wanakataa makusudi kwa kisingizio kuwa ni sehemu
ya starehe.
 
Nyingine tena..... Siku hy nipo home Nimekaa sebulen Akaja mtu akagonga nikaenda kumsikiliza nikamkuta muuza mkaa Katuletea mkaa( muuza mkaa Kutoka bush) Nikamsalimia nikamuona ananiangalia tu kumbe bana nilikuwa Nimevaa surual halafu zipu imefunguka saa nyngi ( Mimi ni KE) na sijavaa Chupi basi mambo hadhara muuza wa mkaa anatumbua tu macho basi nikasepa fasta ndan ila Niliona aibu
Najaribu kujiuliza, hiyo zipu uliifungua kufanya nini,na ukasahau kuifunga
wakati wewe ni KE?
 
Hahah hio channel ilikua inaitwa channel e au etv kwa jina jingine hio mambo ya pilau llikua inaonyeshwa ijumaa kwnye mida ya saa 7 kuelekea saa 8 usiku ila jmosi ilikua inawahi kiaina sa 6:30 usiku inaelekea kuanza,hahah.

Story yako imenichekesha sana aisee,hahah.
Hivi hayo mambo bado wanaoneshaga??
 
Hivi hayo mambo bado wanaoneshaga??
Walishaacha siku hizi mkuu,ila nilikutaga frequency zimewekwa humu kwny jukwaa wkt flani hivi nikiwa na dishi la azam, nikaziingiza nikapata channel 1 hivi inaitwa HUSTLER TV aisee ile inaonyesha hizo mambo 24/7.Yaani iko dedicated kwa ajili ya hio mambo tu.

Ila nilikuja kuifuta maana nilikua nakua unconfortable,kila saa nimeng'ang'ania remote ili wasiohusika wasiione aisee hahah.
 
Walishaacha siku hizi mkuu,ila nilikutaga frequency zimewekwa humu kwny jukwaa wkt flani hivi nikiwa na dishi la azam, nikaziingiza nikapata channel 1 hivi inaitwa HUSTLER TV aisee ile inaonyesha hizo mambo 24/7.Yaani iko dedicated kwa ajili ya hio mambo tu.

Ila nilikuja kuifuta maana nilikua nakua unconfortable,kila saa nimeng'ang'ania remote ili wasiohusika wasiione aisee hahah.

Kulikua na tamthilia inaitwa Backstage hivi bado ipo? Kuna muigizaji nilikua namkubali alikua anaitwa Ziggy
 
Daaah!!! Umenikumbusha mbali sana mkuu!! Enzi za (nyege mshindo) balehe balehe huwa zinaaibisha sana. Nakumbuka enzi hizo nikiwa nasoma bana, ilikuwa form two, shule moja iko Tarakea kilimanjaro, maisha ya boarding yana utamu na uchungu wake, wakati huo kitabu kimekaza mbaya, huku na huku nyege nazo zimenikazia haswa. Kipindi hicho nyege haziskii maharage ya mafuta ya taa wala uji wa malimao sijui mandimu ndimu yao yale.
Basi bwana, kuna manzi mmoja hivi nilitokea kumuelewa haswa, kiukweli nilimzima, alinichanganya nikachanganyika, alinishika nafsi, roho na mwili. Yaani kwenye msosi nawahi ili nimuone, darasani kwao naenda ili nimuone, prepo naenda ili nimuone, naenda kusali kwao ili nimuone tu moyoni nisuuzike..., Ishu ilikuwa ni kuongea nae, yaani hata nimsikie tu ilikuwa ni ishu haswa, Aibu aibu zile ukichanganya na ukame niliokuwa nao vilinifanya niwe muoga kutupa verse na sound zangu.
Sasa bana, kumbe katika kusota koooooote huko kuna Fala (sijui ndo Bwege sijui ndo Snitch) mmoja hivi alikuwa anafatilia nyendo zangu kimya kimya, yaani kila nachofanya huyo Fala aona, wakati huo mi sina hili wala lile naendelea kamsaka mrembo wangu kimya kimya,
Siku moja bana nikiwa zangu uwanjani nafanya mazoezi akaja dada mmoja hivi msela wangu sana, akanambia " J ukitoka mazoezini unione nna ujumbe wako" mi nikamwambia poa. Badae nikamtafuta akanambia "kuna mtu kanipa barua nikupe ye anaogopa kukupa mwenyewe". Akanambia Anaitwa Xxx, ni yule manzi anaenichanganya. Sikuhoji nikapokea nikasepa zangu dom kuisoma. Daaaaaaaah aisee ile barua ilikuwa tamu kinyama full malavidavi, malove love ya mikuki mikuki yale yalikuwepo mengi mengi tu, madedication ya sijui west life na wazungu gani gani huko yalikuwepo ya kutosha, maua maua ndo usiseme, yaani badala ya kutongoza nilitongozwa mimi na demu niliyekuwa namtaka. Chap chap nikaenda zangu dukani, nakumbuka nilinunua makaratasi yale yenye maua maua na marangirangi ili nijibu ile barua, wakati huo kumbe yule Fala ananicheki tu mwanaume navyohangaika na kuweweseka, Daah we acha tu hapo ndo aibu yangu ilipoanzia. Nikawatenga masela zangu kwa muda ili nipate wasaa mzuri wa kujibu ile barua, mwanaume nikaanza kuremba mwandiko, kalamu sijui nyekundu, bluu kijani nyeusi zote nilitumia. Niliandika barua kama naomba kazi vile, sijui saini, majina nilibandika vyote ili kukazia hisia zangu. Kumbe ndo naenda kuaibika, Yaani kumbe barua hakuandika yule dada wala alikuwa haelewi chochote mtoto wa watu, Aisee ile barua yangu ilitembezwa karibia shule nzima, Nilitamani kuacha shule Ila nashukuru Mungu yule manzi nilimfata nikaongea nae nikamuonyesha ile barua iliyotumwa kwangu, alivyoisoma alielewa na akanisamehe. Maisha yakaendelea, kufanya fanya uchunguzi nikaja kumjua m-baya wangu, kumbe nae alikuwa anamtaka manzi Ila akaona njia ya kumpata ni kuniharibia kwa njia ile, na yule manzi akanithibitishia kabisa kwanza jamaa anatabia flani hivi za kuwasema sema ovyo masela anapokuwa anapiga story na mademu.
 
Walishaacha siku hizi mkuu,ila nilikutaga frequency zimewekwa humu kwny jukwaa wkt flani hivi nikiwa na dishi la azam, nikaziingiza nikapata channel 1 hivi inaitwa HUSTLER TV aisee ile inaonyesha hizo mambo 24/7.Yaani iko dedicated kwa ajili ya hio mambo tu.

Ila nilikuja kuifuta maana nilikua nakua unconfortable,kila saa nimeng'ang'ania remote ili wasiohusika wasiione aisee hahah.
Aisee vip ipo bado??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom