Tukio ambalo sitalisahau kabisa

Tukio ambalo sitalisahau kabisa

Ndoa yangu ina hizi tabia...mama mtu ni mbulu...ni mzuri haswa...hilo la mtoto kuumwa ilibaki kidogo nimpoteze binti yangu....ila nilimkimbiza St francis hospital -ifakara. Aliponea huko....mama mtu ni mzembe vibaya mno...na ni mchafu...kitoto kinaumwa kila siku...kinawashwa mwili, upere, na homa kila wakati wazeee....aloo nateseka mpaka kupiga mzigo kwa mama mtu nashindwa kabisa....nimepoteza hisia nae kabisa
Aisee Mwanamke Mchafu Mimi hapana
 
Nyie ni wapumbavu.

Maugomvi yenu mnayahamishia mpaka kwa watoto?

Watoto wakiumwa mnapaswa muwe serious na muweke tofauti zenu pembeni mumtibu mtoto mpaka apone.
Umeelewa changamoto aliyoipata mtoto baada ya kuwekewa damu?
 
Umeelewa changamoto aliyoipata mtoto baada ya kuwekewa damu?
Nimeelewa kila kitu mkuu.

Kiufupi ni kwamba hawa wana watoto ila wanategeana kwenye uangalizi wao.

Ndiyo maana mama amekaa na mtoto hampeleki hospitali kisa eti anamsubiri baba aje.

Baba alipokuja eti wakaamua kulala badala ya kwenda hospitali haraka.

Wanaviziana hawa. Ndiyo maana mama mtoto kamtupia lawama za kwamba baba mtu kamuua mtoto!
 
nashukuru, we endelea kuwa unaleta dhihaka kwny posts zangu na comments zangu, lakn jtahid kuwa na hekma siyo kila post ni ya kumdhihaki mtu ili ufurahishe watu humu.
Punguza mihemko dogo
 
Ndoa yangu ina hizi tabia...mama mtu ni mbulu...ni mzuri haswa...hilo la mtoto kuumwa ilibaki kidogo nimpoteze binti yangu....ila nilimkimbiza St francis hospital -ifakara. Aliponea huko....mama mtu ni mzembe vibaya mno...na ni mchafu...kitoto kinaumwa kila siku...kinawashwa mwili, upere, na homa kila wakati wazeee....aloo nateseka mpaka kupiga mzigo kwa mama mtu nashindwa kabisa....nimepoteza hisia nae kabisa
Mkuu weka house girl mtu mzima ili angalau awe anamjali mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom