Tukio ambalo sitalisahau kabisa

Tukio ambalo sitalisahau kabisa

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,190
Reaction score
5,061
Wakuu kheri....ilaaniwe CCM na watu wake wote ndiyo adui namba 1 wa taifa hili na raia wake.

Kwanza kama unaishi na mwanamke na mnaona kbs hampgi hatua, magomvi hayaishi kila sku ni afadhari ya jana aisee kabla hamjachelewa na kufka mbali hasa kuwa na watoto wengi, muachane tu.
TUKIO LA KUUGUA MTOTO NA KUFARIKI:

Tulikuwa na mtoto wetu wa kiume ambaye alikuwa na changamoto ya kuishiwa damu mara kwa mara, sku nlirud home usku sn kutokana na changamoto za usafiri nlifka saa sita usku nikakuta mtoto analia na kujinyonganyonga sn na mama ake anambembeleza, nlipouliza mama ake akasema naye ametoka kazin jion kamkuta analia ivyoivyo nlimlaumu sn kwann hakunijuza au why hakumpeleka hospital tulikorofshana kbs usku hatukulala tuliamka usku saa kumi alfajiri kumpeleka hospital, alianza kujsaidia mpk damu kufka hosptl ikashndkana wakampeleka muhimbili, mama ake anasema walimuwekea damu ile imeanza kwenda wakaichomoa haraka na mtoto akaanza kuvimba macho, alinipgia cm kwmb kuna hali ya namna hiyo..taendelea
 
Nyie ni wapumbavu.

Maugomvi yenu mnayahamishia mpaka kwa watoto?

Watoto wakiumwa mnapaswa muwe serious na muweke tofauti zenu pembeni mumtibu mtoto mpaka apone.
 
PARTY II
Kweli baada ya taarifa iyo nlienda muhimbili nlikuta mtoto amevimba macho, ma dr hawasemi chanzo ni nn na damu ilikuwa chn sn, nlitoa machozi sn kumuona mwanangu katika hali ile, nliaga nikarud home na nlikubaliana na mama yake kwmb ningerud after 2 days kupeleka pia mahtaji yao, kesho yake akanpa hbr njema kwmb macho yamepungua sasa anaona vema na atajtahid atoke arudi nyumban, aisee usku wa sku iyo hali ilibadilika wkt huo mi skuwa na taarifa zaid nlikuwa naandaa mahtaji alfajiri niende hospital nikiwa njian hiyo alfajiri nikapgiwa cm kwmb mtoto amefariki, huwa ni mgumu kulia ila ndan ya daladala nlikuwa nalia sn, nlipofka hospital nliishiwa nguvu kbs stasahau, baada ya mazish ilipta kama wk magomvi yakaanza mama mtu ananituhumu eti nimemuua mtoto sjui kwa namna gn na mpk tunaachana hakuwahi futa kauli hiyo, machungu yalianza moja na huwa nikikumbuka nakosa raha kbs. Rest in peace big dady, i miss u, nisamehe nlipowahi kukukosea, nisamehe dady, uliniacha na uchungu mkubwa sn, I MISS U EVER.
 
Nilishawah kuwa na ndoa ya hvyo,ila nmemmiss sana
ume miss nn kiongozi? Mbususu yake au purukushani zake. Bnafs namiss alikuwa na umbo fulan hv la ktusi maana alikuwa ni muha mrundi pure kbs, mahips pia alikuwa anajua kujiachia kwng hana aibu kbs anaweza vua nguo zote akawa anapka mi namuangalia uku tunapga story bt yule mtu nahisi alikuwa na uchawi, taandka baadhi ya visa vyake ambavyo vliashria ana iyo spirit.
 
Ndoa yangu ina hizi tabia...mama mtu ni mbulu...ni mzuri haswa...hilo la mtoto kuumwa ilibaki kidogo nimpoteze binti yangu....ila nilimkimbiza St francis hospital -ifakara. Aliponea huko....mama mtu ni mzembe vibaya mno...na ni mchafu...kitoto kinaumwa kila siku...kinawashwa mwili, upere, na homa kila wakati wazeee....aloo nateseka mpaka kupiga mzigo kwa mama mtu nashindwa kabisa....nimepoteza hisia nae kabisa
 
Anashinda home full time au na yeye anatokaga kwenda jishughulisha?
 
PARTY II
Kweli baada ya taarifa iyo nlienda muhimbili nlikuta mtoto amevimba macho, ma dr hawasemi chanzo ni nn na damu ilikuwa chn sn, nlitoa machozi sn kumuona mwanangu katika hali ile, nliaga nikarud home na nlikubaliana na mama yake kwmb ningerud after 2 days kupeleka pia mahtaji yao, kesho yake akanpa hbr njema kwmb macho yamepungua sasa anaona vema na atajtahid atoke arudi nyumban, aisee usku wa sku iyo hali ilibadilika wkt huo mi skuwa na taarifa zaid nlikuwa naandaa mahtaji alfajiri niende hospital nikiwa njian hiyo alfajiri nikapgiwa cm kwmb mtoto amefariki, huwa ni mgumu kulia ila ndan ya daladala nlikuwa nalia sn, nlipofka hospital nliishiwa nguvu kbs stasahau, baada ya mazish ilipta kama wk magomvi yakaanza mama mtu ananituhumu eti nimemuua mtoto sjui kwa namna gn na mpk tunaachana hakuwahi futa kauli hiyo, machungu yalianza moja na huwa nikikumbuka nakosa raha kbs. Rest in peace big dady, i miss u, nisamehe nlipowahi kukukosea, nisamehe dady, uliniacha na uchungu mkubwa sn, I MISS U EVER.
Hata mimi iliwahi kunitokea na hadi leo huwa nachukuliwa tofauti na jamii... nakumbuka mwanangu alifariki mwaka 2017 ila kuna jambo fulani lilitokea nikaonekana nimemuua yule dogo katika mambo ya kishirikina hali hiyo inaninyima raha sana kiasi kwamba hata ndugu hawaniamini...ila yote ni mfululizo wa matukio kwasababu vijana watatu ambao wakinisaidia kwenye biashara walifariki ila kwa nyakati tofauti ndani ya miaka miwili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom