yawezekana waanzisha mgomo walikua watoto wa wakubwa we ndo umefika chuo umetokea sijui huko NAMANYELE swax bush ukaiga mkumbo
Kuna mtu kanikumbusha............. si unajua unaweza kukutana na mtu uliyepoteana naye kitambo ukakumbuka matukio ya nyuma mliyoyapitia
Acha usanii wewe.... Chuo gani ulifukuzwa, tupe full stori. Chanzo cha mgomo na vigezo vya kurudivilikuwaje????
Au chuo cha kata ulikuwepo?.......
Ninavyojua chuo cha magreat thinker hafukuzwi mtu..... Mgomo hadi kieleweke hakuna cha mtoto wa "a" wala "be"
pumzika kwa aman na siku ya ufufuo usifufuke kamwe!!!!!!!!!!!!!!maana unatuletea upupu!!!!!!!
Kuna mtu kanikumbusha............. si unajua unaweza kukutana na mtu uliyepoteana naye kitambo ukakumbuka matukio ya nyuma mliyoyapitia