Hiyo sio ngeni ndugu.mi toka nifahau hii ni zaidi ya miaka 5.kuna jamaa yetu alienda mpaka kwa waziri kwa ajili ya inshu iyo, lakini mwisho wa siku alipewa majibu yasiyoeleweka

Mifano michache: Siku hizi ukinunua Nazi wanakuna, Mboga za majani wanakatakata, Kisamvu wanatwanga, Nyama wanakatakata, Vocha wanaunganisha. Itakuwa ni mabadiliko ya tabia ya nchi!!