Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
umeelewa kilichoandikwa kweli?nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
We unahisi shida itakuwa wapi?nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
HIZI METER SASA ZIPO UNAPEWA GADGET NYUMBANI UNANUA AMA UKIWA PAHALA UNAPATA MOJA BARIDI WAKISEMA HALI TETE UNANUNUA FASTER NA UNAINGIA MOJA KWA MOJA …. NEW INSTALATIONS ZOTE NDIO MAPANGO MZIMA...Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.