Tukikutana tena itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukikutana tena itakuwaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gervase, Apr 24, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilimpenda kwa mara ya kwanza akanipenda. Nilikuwa mwaminifu kwake na kimsingi tulipendana sana. Ni miaka 11 hatujaonana. Tulitengana baada ya masomo yetu, barua na picha alizonitumia baada baada ya masomo zipo. B,se of changing address tulipotezana. I hope she is married now as I am. Tulitengana kwa amani na mara kadhaa huwa namuota ndotoni. Natamani kumwona kwa sasa ila naiheshimu family yangu. Napenda tukutane ila naogopa tunaweza kukumbushana ya wakati ule...suppose we meet maishani itakuwaje? Nawasilisha zigo hilo kwenu great thinkers.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  wakati mnapotezana hiyo miaka 11 iliyopita mlikuwa na umri gani?
   
 3. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama umeoa na yeye ameolewa tuliza mzuka,,, angalia familia yako...
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Gervase angalia sana isije kua Obsession 11 years is too long, ni mbaya sana.
   
 5. g

  gervase Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuliachana when i was 22 and she was about 19 yrs. Mara kadhaa najifanya kumsahau nashindwa. Hata wale tuliofahamiana here in btn nilishawasahau, bt not her!
   
Loading...