Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu. Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa, KUNYANYASHWA, na kubaki katika UMASKINI wao.
Wananchi walitumika kama MITAJI ya KISIASA kwa wenye NGUVU za KIFEDHA na uchu wa madaraka.
Kwenye KAMPENI zao wananchi WALIAAHIDIWA ahadi kibao. Waliambiwa mtapata hiki na kile oh mtapata maji WAnasiasa walipoingia madarakani.AHADI nazo zikawa ni AHADI tu.
Wakaahidiwa maendeleo na USTAWI, badala yake WALICHOAMBLIA ni UMASKINI uliokithiri.
Wakaahidiwa UMOJA na USAWA na badala yake walichoambulia ni UTENGANO wa WALICHONACHO na WASIO NACHO.
kumbuka huku wengine wakiwa CHAMANI CCM walikua WAKILA mali ya CHAMA na kuifanya ni kama yao. Yaani vurugu mechi tu.Mpaka Magufuli alipotokea KULIPONYA TAIFA.
Wakati haya yote yanafanyika Benard Membe and Co. ndo walikuwa MSTARI wa mbele chamani/ the DEEP STATE fellas/watu wa ndani na wa karibu...
Akiwa Wizara ya mambo ya nje hakukuwa na utaratibu NA MENGINE HATUWEZI KUYASEMA HAPA.,
Balozi zetu zilikuwa kama shamba la bibi.
Hela nyingi ilitumika vibaya na watu waliokuwa on tour of duty/KAZI za Kibalozi/ni }nk wengine WALIDIRIKI hata KUKATA kurudi Tanzania maksudi, hivyo kuendelea kukaa huko majuu kwa kadri ya MUDA walivyopenda wenyewe. KINYUME kabisa na TARATIBU za tour of duty katika wizara ya Mambo ya Nje.
Kama ULIJUANA na Membe mambo yako yalikuwa ni mazuri.
Kama WIZARA ILIMSHINDA TAIFA ZIMA ATALIWEZA?
Uongozi si ujuzi wa kuzungumza /ELOQUENCE. Na ni zaidi ya kuzunguka zunguka nchi za nje.
SWALI: Ni nini kipya atakachowaambia Watanzania hasa baada ya MAGUFULI KUREKEBISHA both madudu serikalini na CHAMANI ambacho yeye mwenyewe ndo alikuwemo?
Ni maendeleo yapi ambayo Benard Membe ATAFANYA ama MAWAZO/IDEAS mpya ambazo atawauzia Watanzania sera WAZINUNUE?
Tusidanganyane Benard Membe HAFAI kuwa RAIS.
Rais Magufuli aendelee na maono yake kwa wanyonge na wasio na sauti.
Watanzania wanachotaka sasa na WALISHAKIPATA ambao ni UONGOZI ulio na MAONO/VISION.
Na Si SIASA tupu tena.
Hatutakubali kutumika tena KAMA MITAJI ya WATU.
Sasa tuna miundombinu mizuri, Hospitali, Zahanati, SGR, MAJI, Barabara nzuri ,Na pia UCHUMI wa KATI ambao Tanzania wamepewa MIAKA 5 mapema zadi kabla ya wakati 2025 hii ni kusema Magufuli anakubalika KIMATAIFA.
Hizi zinginezo ni mbwebwe za Membe.
TUKIKUMBUKA yale MAZURI JPM aliyoyafanya kwa muda mfupi sana pia HATUTASAHAU UNAFIKI wa Benard MEMBE