Tukiingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa Mbowe, Lissu na Mnyika watatufaa katika nafasi gani?

Lissu tutampeleka ubalozi wetu Malawi,Polepole atarudi wizara ya fedha kuwa Katibu mkuu, Mbowe tutampeleka Zimbabwe kumpokea kijiti Sirro. Sirro atarudi kuongoza bodi Tanesco
 
Ili kujenga Umoja wa Kitaifa tunaweza kuingia katika Serikali shirikishi kama ilivyo Zanzibar

Je Lisu, Mbowe, Mbatia, Zitto na Mnyika watatufaa kwenye nafasi gani?

Jumapili njema.
Bado mnawaza uteuzi tuu? Kuna shida gani huko chadema?
 
Back
Top Bottom