Tukifananisha makampuni ya simu na mademu wewe upo lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukifananisha makampuni ya simu na mademu wewe upo lipi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nhassall, Sep 14, 2012.

 1. n

  nhassall Senior Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zain- ni siter du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazoVoda- Mchumba wa kuoa kabisaZantel- Jimama la kulea vitotoTCCL- Kibibi kinacho lazimisha ujanaTigo- Changudoa asiyejali maslahi na asiye na beiJe wewe unatumia mtandao gani? Tafakari chukua hatua
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mi sio demu, hainihusu, chaoooooooo..............!
   
 3. whistle blower

  whistle blower Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  acha hizo wewe
  tigo=jicho
   
Loading...