TUKIELEKEA KUUAGA MWAKA 2021 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2022.

Unforgettable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
5,273
11,773
Nichukue nafasi hii kukushukuru ewe mwana jf kindakindaki kwakupita hapa na kuusoma uzi huu wa shukrani yangu ya dhati kwa JF.
Moja kwa moja naomba nichukue nafasi hii kushukuru Mungu kwa mwaka huu ambao haukua mbaya sana kwangu moja sababu napumua mpaka sasa na nimeepushwa na vingi vibaya na vizuri pia nichukue nafasi hii kuwashukuru wanajf huko pm na jukwaani kwa ushauri na vichekesho tulivyoshiriki pamoja na tusameheane pale tulipokwazana na kupishana mitazamo,vilevile napenda kushukuru kwaajili ya huyu kijana mtanashati mwenye moyo wake wa pekee aka Kingsmann kwa upendo usio na kipimo kwangu na kwa kijana wako Juniour hakika mmefanyika baraka kwangu,nakuombea ukafanikiwe zaidi na zaidi mjini na vijijini pakafurike kwaajili yako.

Wana jf msichukulie poa hizi forum walio wa kweli wapo humu na waongo pia wapo ila niombe tupunguze kejeri na ushauri wa kubomoa maana ni wengi wanayaishi mafundisho ya humu..

Muwe na siku njema wapendwa na me leo nimejaribu kuandika bandiko refu....aisee kuandika nacho kipaji..
FB_IMG_1639503784625.jpg
 
Back
Top Bottom