Mambo ni firee
Shukrani sana mkuu ubarikiwe mnoo!!
Uko episode ya ngapiShukrani sana mkuu ubarikiwe mnoo!!
Ya 18 kesho namake sure tunaenda sambambaaa!!! Ntajitahidi hatiii tuwe levelUko episode ya ngapi
Ya 18 kesho namake sure tunaenda sambambaaa!!! Ntajitahidi hatiii tuwe level


Ili kupata uhakika nitakuuliza maswali.🤣! Wee mchawi walai hahahaaa😂😂😂😁!Ili kupata uhakika nitakuuliza maswali.
Hayo ndio matunda ya usaliti,jenifa wa watu kafa na utamu wake!Unauliwa baada ya kutoa utam..masikhara.
Sio kama ulifyonzwa kwanzaHayo ndio matunda ya usaliti,jenifa wa watu kafa na utamu wake!
Kwani unaishaga?Sio kama ulifyonzwa kwanza
Niko hapa Steve. Habari za weekendNaam Kaka![]()