Tukiamua kuandamana (A word of thought) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukiamua kuandamana (A word of thought)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Feb 19, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Which one is our Tahrir square? Is it Mnazi mmoja? Is it Jangwani au Askari Monument? Naomba mlale mkifikiria maana demonstration makes sense kama ina paralyse daily activities! Therefore Askari Monument could be a more appropriate venue!
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Watu hapa JF wanasema kila chama kisimame kivyake vyake, kila chama kina wanachama wangapi?

  Huoni pia watasema kuwa kila mmoja aandamane kivyake vyake?
  Halafu unategemea watu wepi? Hawa wanaosema nguvu ya umma wanapokuwa na keyboard tu?

  Bado tunayaweza, yakitushinda hatutasubiri kuambiwa tuchague venue!!!

  Saa ya usingizi ni sasa......ooopps saa ya ukombozi bado haijafika.
  Sina nia ya kukuvunja moyo, lakini kivitendo hatujawa tayari. Tupo kwenye hatua ya DOMO-krasia iko siku tutafika huko kwenye KUANDAMANA -krasia...kama wewe na mimi tutabahatika kuwa hai bado kwa hali ya nchi yetu ya umaskini na utapia mlo ilivyo. Tunakufa kama kuku au ninadanganya hapa?
   
 3. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Magogoni -ikulu
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  nice idea ila Magogoni needs a momentum na inakuwa vizuri kama tunampa nafasi ya ku-flee
   
 5. j

  just in time Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani askari monument itakuwa powa ili kuparalise
  shughuli zote za kiserikali, hadi myinyi alale mbele, huyu
  ni poyoyo.
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,008
  Trophy Points: 280
  Jaribu kusoma hii post na uielewe hamna chama kilichotajwa hapa hii ni suggestion ya kila mwananchi mwenye uchungu na nchi hii
   
 7. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  I think askari monument is the best place.
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  HAPA HATUZUNGUMZII VYAMA TUNAZUNGUMZIA WATZ KWANI HATA UNAOWAONA NI CCM WAPO KULE KAJILI YA ULAJI NA NDIYO MAANA WALIPIGIA KURA CHADEMA NA NDIUYO MAANA WANATUPA SIRI NA UCHAFU WA SERIKALI KWA KUTUPATIA NYARAKA WANAZOZIITA NYETI N SASA TUNAJUA KILA KITU...............CHAMA GANIU HAKIJUI UOZO WA ELIMU YETU, HAWAJUI UFISADI,HAWAJUI SALAKASI YA UMEME,KAGODA,UDHAIFU WA KIKWETE NA WASAIDIZI WAKE????????????????.....................WOOOOOTE WANAJUA NA SOTE TUNAJUA TUCHUKUE HATUA BILA KUJALI VYAMA WALA DINI JAPO WAISLAMU WANAJIFANYA WASEMAJI WA CCM NA CCM-B aka CUF

   
 9. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Askari monument.... our Tahrir square.... What a nice pipe dream...... I pray so that the idea becomes reality soon...
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Uliyoaandika hapa ndiyo hiyo DOMO-krasia at its best!
  DOMO has been going on for too long now. Action please!
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Uwanja wa Jangwani
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu Geza Ulole, Jile79 na wote watakaoamua kupotosha mawazo yangu na kunirushia madongo.
  Mulikuwa wapi Disemba?
  Hebu pitieni hapa
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/97126-maandamano-ya-amani-nchi-nzima.html
  Au tulikuwa tunasubiri Tunisia, Egypt, Yemen, Algeria, Djibouti na Libya waanze kwa vitendo na sio DOMO? Ok, wameshatuonesha njia!

  Bado hamuamini kuwa tupo katika ngazi ya DOMO-krasia?
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu Jile79.

  Akutukanae hakuchagulii tu, waswahili husema. Nimekusoma na wewe pokea zawadi yako hii.
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/97150-dr-w-slaa-na-vyama-vya-upinzani.html

  Nimekupa hii zawadi kwa sababu kama mimi nimetaja vyama ,wewe unaupeleka mjadala kwengine. Wakija hao uliowataja hapo mjadala utaharibika.
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa tujitahidi kuwashawishi hawa vilaza polisi cku itakapo fika wawe pamoja na sisi ili tuweke mshikamano ambao hata wahucka itakuwa rahisi kuachia ngazi na tutaweka historia mpya duniana ya kumtoa m2 madarakani bila kuuwawa waandamanaji.
  "kama mchakato uomfanya aingie ikulu ni wa kihuni basi nae ni muhuni na serikali yake ni ya kihuni"
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  karibu na jengo la EU
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Biafra
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mnaohimiza maandamano naomba niwaulize mnasubiri nini kwanini msianze ndugu zanguni. Mkishaanza sisi tutafuata nyuma yenu kuwaunga mkono. Lakini haingii mtu kichwa kichwa sote tuna uchungu lakini tatizo la watanzania ni ubinafsi na unafiki tulionao na hilo chanzo cha kurudisha nyuma maendeleo yetu. Mifano ya Egypt, Tunisia, na kwengineko kunatokana na mshikamano na umoja walionao na sio unafiki watanzania waliokuwa nao.

  Wengi wetu hapa JF unasema mkaandamane Mnazi mmoja wakati wewe uko Ulaya, Marekani, Asia na familia yako, unasema una uchungu wakati wewe hata bei ya mkate Tanzania huijui, wewe unasema una uchungu na yaliyotokea gongo lamboto wakati upo JF kusikiliza wananchi watasema nini ili ukapeleke taarifa kwa bosi (unakusanya taarifa kwa ufupi au tuseme uko kazini).

  Hivyo basi nyie anzisheni maandamano tukiona yanavutia tutajiunga nanyi venginevyo endeleeni tu....
   
Loading...