Tukate tusikate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukate tusikate?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jan 4, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heri ya Mwaka Mpya wapendwa!
  Naona sasa huku kupita pita kwangu kwenye majumba ya watu kutanitokea puani. Nimekumbuka mwishoni mwa mwaka jana kulikuwa na mada nzuri ya whether its necessary kwa mwanamke kukata kigudi (kiuno) au la. Sasa huku nako nimekuta taarifa tata kuwa ukatikaji ule una madhara kama alivyosema mdau hapa sasa sijui kuna ukweli kiasi gani hapa! Anonymous said... Kwa upande wangu mwanamke ambaye hakatiki namwita mchoyo na siwezi kuwa naye tutashindana mbele ya safari kwani anaonyesha kuwa yupo pale kama picha tu kukatika kuna ammsha ari ya kungonoka

  japo kukatika sana nako kunasababisha mwanaume afikie kileleni mapema kitu ambacho mwanamke anakuwa anaishia njiani

  kwa hiyo akina dada angalieni namna mnavyowakatikia wanaume wenu coz unashangaa namna boy wako anavyowahi kukojoa unasema mbona unawahi sana kumbe ni kwa sababu mauno yako yamezidi.

  Nimeitoa.... http://dinahicious.blogspot.com/2009/12/tofauti-ya-kukata-kiuno-kwa-raha-yako.html


  Labda kina kaka ambao mlishatunukiwa vigudi mnawezathibitisha hili? kina dada je kuna ukweli wowote katika hili au?
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Ngoja kidogo niafanye praktiko ,,,,,
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi mara nyingi huwa inakuwa usiku,taa zimezimwa!.....:D!i dn't know nothing!

  enewei ngoja nijipindue USWAZI,nitakujibu mama........
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ah mi staki bwana yaani taa imezimwa ndo huoni kama unafika mapema au la? mh unakwepa kujibu tu hapa basi tuliframe swali je kukatika kiuno wakati wa mambo humsaidia mwanamke kufika mlima kilimanjaro mapema au haimsaidii?

  Mi nahisi kama vile haimsaidii kwa kuwa anaconcentraite kwenye kukukatia tu ili akufurahishe wewe badala ya kusikilizia mapigo naye apate mzuka au?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  This suits more to the young generation we have inside here, plus very senior bachelors!!

  Uzuri au ubaya wa mkatiko uko subject to mambo mengi.

  Kwa kurefer zamani nikiwa mdogo, kuna aina fulani ya msichana ambae wala hutahijaji mkatiko wowote toka kwake, na mwingine utataka akatike from the beginning hadi mwisho wa lami!

  Sitaeleza zaidi ya hapo...nimechezwa!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAHAHAH!
  umenifurahisha sana
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kaka Pakajimmy nashukuru kwa jibu lako zuri ambalo bahati mbaya limeniamshia maswali kiasi but ndo hivyo tena umeniziba mdomo na superglue kwa kuwa UMECHEZWA. Aksante anyway though ya shingo upande kaka yangu. Much respect
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani kisebu sebu na kiroho changu papo kimekatika ghafla!! Kaka kanibakia haki zangu za kujua zaidi!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  U better not try broda!
  Utavuruga mipango yako yote in no time!
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwenye hili nadhani team-work inahusika sana!....:Dhapa najua mj1 lazima atanigongea senksi leo kwa mara ya kwanza nimekuwa upande wake
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  mmh, Nimeshatoka huko sasa

  Issue ni kwamba kukatika huko kunategemea, unakatika involuntarily au voluntarily, kama ni ile automatic lazima upate mzuka tu,

  lakini pia hata kama umenuia, kutokana na kwamba ile shughuli nzima inacombine mambo mengi, lazima utapata mzuka..mfani wakati nikiona unakatika kwa kujituma lazima nikusifie kwa maneno na mabusu moto moto wakati huo huo mtarimbo uko busy...so lazima utapata raha kama mawazo yako pale.

  Kwa upande wa mwanaume, kuwahi au kutowahi..inategemea lakini kukatika kwa kiuno inaweza kufacilitate japo kwa mzoefu huwezi 'kukubali kushindwa' kirahisi inabidi umpe mtoto wa kike raha kwanza kabla hujamaliza!:cool:
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kidding bwana!.............take it NOT SERIOUS
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kidding too!...How can i be serious with buttons!
  I know you broda...
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahaha!
  kuna watu wapo so serious na buttons!......
  emotions na nini si unajua!?!

  enewei we upo karibu huko hebu katupostie update za mv butiama basi!watu tumekata tiketi tukamuone drogba lakini mood imepotea ghafla
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuna squad kubwa sana ya JF sasa hv pale ziwani, so we gonna get the nyuz fresh as they are!

  Kwa Drogba nendeni but,just a word of wisdom...pray for the guys in this saga
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sure!............ninawaombea hawa watu.turudi kwenye mada sasa.........
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  khaaa bro umenichekesha hapo!!!
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MBONA SENKSI hujanipa mpwaaaz?!au upo serious na buttons?
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mie nilijua anakatikia ili kufikia zile kona kali na yeye apate raha... sikujua ukikatika ndio unapoteza concentration... au nimekosea?
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yes bht, some people are serious with buttons in the way u cant believe!

  Hujasikiaga watu wanasema...'umeniharibia siku yangu', na seriously anaenda ka mkewe au MBA akiwa amepandisha mishipa ya shingo..lol!
   
Loading...