chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
Hilo...halina ubishi. ILa hao warembo sana ukiwataka ...ili awe wako...usiwe na presha/ usiwe na hasira coz utazeeka fasta, usiwe na gubu..utakufa kihoro bana. Wew furahia unapomuona, unapomgegeda, ukiwa mbali naye usiwaze kumegewa.
Hapo life yako itakuwa flexh. Tena usiichubguze cm yake, na kama ni sekretary ....ama mhasibu, baaasi ndg yangu kuwa mpoooleee kabisa...Maana utakuwa umeelewa kwambaa, MCHOYO HANA RAFKI....NA KIZURI...KULA NA WENZIO. Mshukuru Mungu kwa yoteeee.
Hebu oneni hilo toto kweli wameumbika bana.tusibishe tuuu?
Duh...ivi izi picha mnazitoaga wapi nazipendaga sana...duh hapa nlipo presha iko juu mpaka nmeagiza maji baridi na mvua hii...
Mie mwenzio napendaga mapaja nkiyaona tu balaa..
Yaani wapo jamani mungu kawapendelea ni warembo hata wanawake wenzao wanawakubali yaani kuanzia sura,kifuani,kiunoni,hips,huko nyumanju,guu .mm nimeona niwaeleze hayo.mwenye picha ya mfano wekeni
Hapa vipi..Duh...ivi izi picha mnazitoaga wapi nazipendaga sana...duh hapa nlipo presha iko juu mpaka nmeagiza maji baridi na mvua hii...
Mie mwenzio napendaga mapaja nkiyaona tu balaa..
Hapa vipi..
Kitu kipo hicho live wala si wa kuchoraDuniani wapo kweli hawa au watu wa kuchora kama gazeti bongo na sani
Yaani wapo jamani mungu kawapendelea ni warembo hata wanawake wenzao wanawakubali yaani kuanzia sura,kifuani,kiunoni,hips,huko nyumanju,guu .mm nimeona niwaeleze hayo.mwenye picha ya mfano wekeni
Hebu oneni hilo toto kweli wameumbika bana.tusibishe tuuu?
Ingekuwa vizuri ukatuwekea wewe kwanza hao unaowawaza wakoje sie tuone maana urembo wa mwanamke unategemea yule anayemuona, tena akiwa halisia sio aliyepita saluni na kuongezewa vionjo.Yaani wapo jamani Mungu kawapendelea ni warembo hata wanawake wenzao wanawakubali yaani kuanzia sura,kifuani,kiunoni,hips,huko nyuma,guu.Mimi nimeona niwaeleze hayo,mwenye picha ya mfano wekeni.