Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118

Hapo ndo mathematics inapofeli

This thread is being re-posted now and then!

....and the answer is?
.......basi hicho ni kitendawili,tusubiri tega.....tunakupa mji... Nenda Msoga Bagamoyo
masaburi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa sh10 kwa mama na sh10 kwa baba ye akabaki na sh10,sa hapo mama anamdai 490 na baba 490 jumla sh 980 na ile alibaki nayo 990. Swali ni je,sh kumi iko wapi ili hela zote zitimie 1000?
Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:
Baba: 500
Mama: 500
Ametumia 970/=:
Gharama kutoka hela ya mama: 485/=
Gharama kutoka hela ya Baba 485/=
Kawarudishia:
Mama 10/=
Baba 10/=
Baki 10/=
Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.
NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF
Kiasi alichokopa 1,000/= kwa:

Baba: 500

Mama: 500

Ametumia 970/=:

Gharama kutoka hela ya mama: 485/=

Gharama kutoka hela ya Baba 485/=

Kawarudishia:

Mama 10/=

Baba 10/=

Baki 10/=

Apparently, mpaka sasa ni sawa na kusema mama katoa 485/=+10 na baba pia. Hiivyo kabaki na shs 5 ya mama na shs 5 ya mama which iis ten.

NB: walimu wa darasa la kwanza tumo kibao humu JF