maisha yanaenda vizuri sana,,, wananchi wanaipenda sana serikali yao na rais wao kipenzi Shein... kiufupi maisha ya Zanzibar ni kama Dubai vile..
😱😱😱😱😱😱😱maisha yanaenda vizuri sana,,, wananchi wanaipenda sana serikali yao na rais wao kipenzi Shein... kiufupi maisha ya Zanzibar ni kama Dubai vile..
huo ni uongo mkuu. Zanzibar mambo safi sanaNilipata taarifa ya kususiwa maziko mwanachama mmoja huko Pemba, watu walifunga msikiti kwa kufuli na polisi kuingilia kati kufunguwa kwa nguvu na kuchukuwa jeneza.
Hata hivyo taarifa zinasema watu walisusia na maiti kuswaliwa na watu wachache wa familia tena chini ya mti.
Inasikitisha.
Dumaisha yanaenda vizuri sana,,, wananchi wanaipenda sana serikali yao na rais wao kipenzi Shein... kiufupi maisha ya Zanzibar ni kama Dubai vile..
huo ni uongo mkuu. Zanzibar mambo safi sana
We ukiona watoto wa kike wa kizanzibar wamekubali kuwa ma barmaid kwenye local pubs basi ujue mambo ni "mazuri" mno
Uchaguzi ushapita sasa ni kazi tu
Kwa hiyo CUF wangeshinda dawa zingepatikana?Usijifariji.
Uchaguzi umepita madhambi ya uchaguzi huo yapo na hayakwisha.
Ndio kwanza wadau (CUF) wanafunguwa kesi.
Hili la ukata na kukosekana dawa vile vile lipo. Wagonjwa pale mnazi mmmoja zanzibar wananunulishwa hadi mirija ya dripu Taarifa zipo ukata mbaya sana
Sasa Muungwana mbona una taarifa moja tu na nikama huna uhakika nayo hayo mengine yote yame tokea wapi?Nilipata taarifa ya kususiwa maziko mwanachama mmoja huko Pemba, watu walifunga msikiti kwa kufuli na polisi kuingilia kati kufunguwa kwa nguvu na kuchukuwa jeneza.
Hata hivyo taarifa zinasema watu walisusia na maiti kuswaliwa na watu wachache wa familia tena chini ya mti.
Inasikitisha.
Wewe ushaambiwa ukiuziwa sukari zaidi ya sh 1800 kwa kilo toa taarifa watu wanyooshwe sio kulalamikaZanzibar sukari ipo? Maana huku kwetu Gezaulole sukari inazidi bei ya petrol.
Kwa hiyo CUF wangeshinda dawa zingepatikana?
Sasa Muungwana mbona una taarifa moja tu na nikama huna uhakika nayo hayo mengine yote yame tokea wapi?