- Thread starter
- #21
Mliweka mpira kwapani leo mnajipendekeza un nyambafu mwacheni shein apige kazi nchi imetulia sana
Tuambie ukweli wa hicho kinachoendelea kama mleta mada alivyotonya jee kuna ukweli au si kweli? hilo ndio la msingi.
Masuala ya kuachwa dr Shein kupiga kazi hilo ni suala lengine. Taratibu za kupinga kilichofanywa ikiwa kuna hisia za kukosekana haki au kupindishwa mambo acha wahusika wafuate mkondo wa sheria. Ikiwa UN haki inapatikana ama vipi acha wahusika waendelee na michakato hio ndio demokrasia .