Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

Mkulu aliongea kizungu leo?
Ameongea,nomino,kivumishi,kielezi,kitenzi,kiwakilishi,Ngano,soga,uambishaji,Sarufi,mofimu huru na tegemezi Kwa kifupi ameongea lugha ya kwanza ya Taifa(KISWAHILI) ila kuna sehemu aliongea lugha ya malkia.
 
Mbona hata cc tuna mawe meengi bukoba mwanza kahama singida dodoma iringa na kwingineko lakin mpaka idd amin alikuwa anataka kututawala. kama mawe ni siraha.
 
Mbona Tunasoma Historia za Russia revolution,Ghana Empire kwani hayo yote yanatusaidia nn?
Kwa wewe bado ni mjinga hutaki kujua kwa sababu unafikiri unajua unakuwa ni mpumbavu
 
Hawa wengine sijui wanafirwa au tuseme wanaliwa tigo
 
Tunamengi sana ya kujifunza kutoka Ethiopia Kwa upande wa Positive,Nasikia wao hawana vyanzo vingi sana vya mapata ila kupitia Shirika lao la Ndege ETHIOPIA AIRLINE wameweza kuendesha nchi yao ni juzi juzi tu wamezindua train ya kisasa kabisa
 
Hawa si ndio watu wao wanakamatwa hapa kwetu kila kukicha kama wahamiaji haramu wanakimbilia south huko
 
Wahamiaji haramu wako kila sehemu siku hizi esp watu wanatafuta maisha bora ukienda South Africa ndo utajua kuna wahamiaji haramu kutoka kila pembe ya Afrika
 
Nineshangaaa kusikia Ethiopia inamiliki Jumla ya ndege 96 za Shirika la ndege la umma
 
Nadhani ndio kuns chimbuko la ukristo wa mwanzo kabisa
 
Mkuu mi ningependa kujua kwa nini kila baada ya siku kadhaa wanakamatwa wahabeshi kwenye mafuso wakati mwingine baadhi wanafia kwenye makonteina wakiwa njiani kukimbilia kwa papa Madiba.
Ni kitu gani kinawakimbiza kwao kwa idadi kubwa kiasi hicho?.
 
Nadhani ndio kuns chimbuko la ukristo wa mwanzo kabisa
Nahisi hivyo hata mimi hata vitabu vya Biblia kuna Watu wametajwa kutoka Ethiopia hata miaka yao ni tofauti na yetu mwaka mpya hatuli pamoja,Na vipi kuhusu imani ya rastafarii watu kama kina culture ukiangalia wafalme wao walikua marasta.
 
Mkuu mi ningependa kujua kwa nini kila baada ya siku kadhaa wanakamatwa wahabeshi kwenye mafuso wakati mwingine baadhi wanafia kwenye makonteina wakiwa njiani kukimbilia kwa papa Madiba.
Ni kitu gani kinawakimbiza kwao kwa idadi kubwa kiasi hicho?.
Kwa uelewa wangu mdogo nafikiri kitu cha kwanza ni zile zile za wote NDOTO YA MAISHA MAZURI yanapatikana nje ya nchi yako.

Cha pili nafikiri ni Ukiwa mtawala sio wote watakupenda wengine wataona wanaonewa hivyo wataamua kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine.
 
Ninachojuwa mm Ethiopia kuna wanawake wazuli kuliko wote duniani
Pia wanawake wa Ethiopia wana heshima sana kwa wanaume
 
images-24.jpg
images-23.jpg
images-22.jpg
images-21.jpg
images-20.jpg
images-19.jpg
images-18.jpg
images-21.jpg
images-16.jpg
images-13.jpg
 
Back
Top Bottom