Genzebe Dibaba bado ni moto wa kuotea mbaliIla siku za karibuni wamepigwa bao na Kenya walijisahau wakashindwa kuwekeza kwa Vijana kuna mwanariadha wao wakuitwa haile Gebrasie alikua hodari sana.
Genzebe Dibaba bado ni moto wa kuotea mbaliIla siku za karibuni wamepigwa bao na Kenya walijisahau wakashindwa kuwekeza kwa Vijana kuna mwanariadha wao wakuitwa haile Gebrasie alikua hodari sana.
Uchumi wa nchi upo vizuri sanaaa ila wananchi ni masking sanaa Kwa africa ni nchi ya Kwanzaa kutoa wakimbizi wa kiuchumi
Ina maelfu ya wakimbizi wanaoishi somaliland
tutajuaje? weka kapicha mkuuAsante Mkuu . Pia Ethiopia ina wanawake wazuri sana yaani sana
Ni nchi ambayo Raia wake wamejaa kwenye magereza ya Tanzania baada ya kuzamia kinyume cha sheria za uhamiaji KWA KUKIMBIA NJAA KWAO .Tukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia enzi za kikoloni mpaka Leo.
Kwa uelewa wangu mdogo najua mji wake Mkuu Unaitwa Adis Ababa, imewahi kuwa na wafalme maarufu kama vile Menelik na Haile Selasie.
Ni kati ya nchi ambazo hazikutaliwa na Wakoloni pamoja na Liberia kama nlivyomsikia Rais wetu Leo katika hotuba yake ya Kumkaribisha Mgeni wake, na pia mwl wangu wa Historia aliniambia sababu kuwa Ethiopia ina asili ya milima yenye mawe makubwa hivyo walikua wakiwaporomoshea wazungu hayo mawe, Wakoloni wenyewe nasikia walikua Waitaliano.
Kwa kifupi ni hayo nawe unakaribishwa zaidi kutujuza kuhusu nchi ya Ethiopia.
Karibuni.
Mengistu Haile Mariam alimpindua Haile SelasieMengistu Haile marriam pia alikuwa mfalme
Asante Mkuu . Pia Ethiopia ina wanawake wazuri sana yaani sana
Mengistu Haile Mariam alimpindua Haile Selasie
wairaqw waliondoka huko karne nyingi sana,,,walikuja tanzania na tamadun za kihabeshi kama umwagiliaji,ukeketaji na lugha,,waeritria na waethiopia hujitambulisha kama wahabeshi(habesha)bila kujal kabila zao wakiwa nje ya nchi,lugha kuu ya ethiopia ni amhara(amharic;kiingereza)na makabila makuu ni:amhara,tigray,oromoNilitegemea huu Uzi ungekuwa na details za kutosha hasa kutoka kwa ndugu zetu wa Mbulu ambapo kabila la Wairaq asili yao ni Ethiopia
Sana tuNa kwao iwe jua iwe mvua huwezi sikia kelele za njaa tena. Hawategemei mvua kulima wana Irrigation sytem nzuri balaa kutokea Nile. Sisi tuna victoria.nyassa.tanganyika etc but mvua ikigoma kidogo.tu tanalia balaa
Nimekupata mkuuIla Mengistu Haile Mariam hakua mfalme yy alikua rais akaufuta ufalme wa Haile Sellasie akataka nchi iwe ya kikomunisti hadi alipopinduliwa na kukimbilia Zimbabwe ..