Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Mikopo inapatikana wapi kwa sie ambao hatuna salary slip na ambao ni bodaboda?
Boda boda na the likes ni dhamana tosha kwa microfinance nyingi, unaweza kuacha kadi wakati unawazilishia marejesho yao, kikubwa ni kujiandaa na riba heavy
 
Boda boda na the likes ni dhamana tosha kwa microfinance nyingi, unaweza kuacha kadi wakati unawazilishia marejesho yao, kikubwa ni kujiandaa na riba heavy
Hao microfinance wanatoa mkopo kwa dhamana ya kiwanja
 
Mpaka unionyeshe a business plan template...sikopeshi mkopo wa kuhonga nyuchi, sitaki kushiriki hiyo dhambi asee
Wee ebu wacha matani bwana...mie nichukue mkopo kwenda kutombea kwani sina akili🤣🤣🤣🤣
Nipe mkopo ila ka laki tatu lazima nikatumie kula mbususu kujipongeza kupata mkopo toka kwa mwanajf
 
Mm nilikopa mwaka Jana pesa ktk saccos fln ili nifufulie gari yangu ya biashra iliyolala. Muda khak ya vile mkopo uliniteza kila nikikah nawaazanamalizaje mkopo huu wkt gar lenyewe limearibika tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mikopo ni mizuri sana ukijua kucheza nayo na kuitumia kwenye mambo ya maana. Ila ukienda kunywea pombe na mbususu au kilimo cha kutegemea mvua utakimbia mji.
 
Wee ebu wacha matani bwana...mie nichukue mkopo kwenda kutombea kwani sina akili
Nipe mkopo ila ka laki tatu lazima nikatumie kula mbususu kujipongeza kupata mkopo toka kwa mwanajf
Haaahaaa chizi wee
 
The problem no kwamba ulikopa na hukuwekeza kwenye ka ishu kokote ka kukuingizia hata elfu 10 kwa siku!!
Pesa ya makopo Inahitaji umakini na commitment ya hali ya juu lasivo mwezi hauishi inayeyaaa!!
 
Raha ya pesa ya mkopo,
Ipelekewe kwenye mradi wa biashara INAYOENDELEA.

Tatizo Kubwa LA watumishi wa Umma,
Pesa ya mkopo mnapeleka kwny
-kutatulia matatizo,
-kujengea nyumba za kuishi
-kunulia usafir binafs
-Kununulia Fenicha

Kwa Style hii,
Ni lazima ela ya mkopo iwe majuto

Sent using Jamii Forums mobile app
Definitely!!!
 
Back
Top Bottom