Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Eduin

Senior Member
May 15, 2014
195
250
hamjambo,
leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha,
binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gali wala anasa yeyote ninayojilaum lakin kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine ata nauli inakata yani.
vip wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?

NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.

Nakara kwa NBC bank.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,947
2,000

Ulienda kopa bayport nini?
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,521
2,000
Nadaiwa na bodi ya mkopo zaidi a Milioni 9.

Hawa bodi ya mikopo ndiyo watu wabaya kabisa maana wao wanachukua 15% ya basic salary na siyo take home. Ukijumlisha na zile riba zao, lazima unyooke. Sisi tuliosoma wakati boom ni tsh 2500 kwa siku, tulishamaliza deni kitambo. Bora hata mabenki, kwa sasa baadhi ya halmashauri haziruhusu mtumishi abakiwe na salary chini ya 1/3.
 
sinyoritah

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
551
500
Me ndo nataka kukopa niuonje huo uchungu na mimi maisha yenyewe mafupi haya wacha nkajikopeee miee:confused:
 
jonas2011

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
285
225
Raha ya pesa ya mkopo,
Ipelekewe kwenye mradi wa biashara INAYOENDELEA.

Tatizo Kubwa LA watumishi wa Umma,
Pesa ya mkopo mnapeleka kwny
-kutatulia matatizo,
-kujengea nyumba za kuishi
-kunulia usafir binafs
-Kununulia Fenicha

Kwa Style hii,
Ni lazima ela ya mkopo iwe majuto

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema sana mkuu..Mkopo hata kama ukipewa bila riba kama inafanya hivyo ulivyotaja hapo lazima utakuwa mchungu..
 
jonas2011

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
285
225
hamjambo,
leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha,
binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gali wala anasa yeyote ninayojilaum lakin kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine ata nauli inakata yani.
vip wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?

NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.

Nakara kwa NBC bank.
mkuu kuna aina mbili za mikopo, 1. mikopo Mibaya(bad debt) 2. Mikopo mizuri(good debt)
1. MKopo Mbaya
Hii ni mikopo ambayo mtu anachukua na kwenda tufanyia shughuri ambayo haina uzalishaji au ni mzigo (liabilies), mfano kununua gari,kujenga nyumba,kununua kiwanja, kununua fenicha na vitu kama hizo. Matokeo yake inabid utumie nguvu yako binafsi kulipia mkopo(Kukatwa kwenye mshahara) Hii mara nyingi wafanyakaz ndio waathirika wakubwa.

2. Mikopo mizuri:
Ni aina ya mikopo ambayo mtu huchukua ili kuanzisha au kuendeleza biashara, Hivyo basi hata kama ni mfanyakazi unakatwa kwa mshahara basi faida inayopatikana kwenye biashara, inacover sehemu ambapo mshahara umepungua. Aina hii ya mikopo ukiimaster hutajutia kuchukua mikopo instead utaifurahia fulsa ya mikopo. Mimi nilishakoseaga, nikajifunza kwa sasa ninapenda mikopo balaaa...:D:D
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,610

Usichukue mkopo pia kuanzisha biashara.

Mikopo inachukuliwa ku-boost biashara ambayo inamwelekeo.
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
2,353
2,000
mkuu kuna aina mbili za mikopo, 1. mikopo Mibaya(bad debt) 2. Mikopo mizuri(good debt)
1. MKopo Mbaya
Hii ni mikopo ambayo mtu anachukua na kwenda tufanyia shughuri ambayo haina uzalishaji au ni mzigo (liabilies), mfano kununua gari,kujenga nyumba,kununua kiwanja, kununua fenicha na vitu kama hizo. Matokeo yake inabid utumie nguvu yako binafsi kulipia mkopo(Kukatwa kwenye mshahara) Hii mara nyingi wafanyakaz ndio waathirika wakubwa.

2. Mikopo mizuri:
Ni aina ya mikopo ambayo mtu huchukua ili kuanzisha au kuendeleza biashara, Hivyo basi hata kama ni mfanyakazi unakatwa kwa mshahara basi faida inayopatikana kwenye biashara, inacover sehemu ambapo mshahara umepungua. Aina hii ya mikopo ukiimaster hutajutia kuchukua mikopo instead utaifurahia fulsa ya mikopo. Mimi nilishakoseaga, nikajifunza kwa sasa ninapenda mikopo balaaa...:D:D

Mkopo ni malengo. Mkopo hauwi mbaya eti kisa umenunua gari au umejenga nyumba. Kwa maoni yangu mkopo mbaya ni ule ambao hujaufanyia kitu au haujatimiza lengo ulilokusudia. Lakini kama umenunua mfano kiwanja, au umejenga nyumba, au umenunua usafiri maana yake lengo lako la kuwa na kitu hicho limetimia kwahiyo huo ni mkopo mzuri. Ndio, utaumia kuulipa lakini utafurahi kuona kwamba lengo ulilokua nalo limetimia.
 
livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,576
2,000
hamjambo,
leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha,
binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gali wala anasa yeyote ninayojilaum lakin kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine ata nauli inakata yani.
vip wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?

NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.

Nakara kwa NBC bank.
Unamiaka mingapi unarejesha mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom