Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Wakopaji ni risk takers na risk takers wengi ndio wamefanikiwa. Ninafuraha sana kuwa mkopaji nzuri wa mabank na sijawahi kuziangusha wala mikopo haijawahi kuniangusha. Leo nimetoka kuprocess mwingine dhamana nyumba iliyotokana na mikopo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Umepataje mkopo kwa dhamana ya nyumba?
 
Mikopo ni majanga kama utaenda kuzika pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom