Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+
Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka .
Unajua Mimi ninapenda kiwanja ambacho mziki unapigwa huku watoto wakike pembeni yako anakata uno.
Hapo bia huwa tamu sana .
Nijuzeni hicho kiwanja niende please nawaalika na wadau wote