Tujuzane faida na hasara za friendship with benefit

Tujuzane faida na hasara za friendship with benefit

Wana jamvi,

Kuna hiki kitabia ka FWB(Friendship With Bennefit) naona kazidi kuota mizizi, siku hizi imekua kama fassion ya marafiki wa jinsia tofauti kua na uhusiano wenye faida kimwili, sasa embu wenye ma uzoefu tupeane faida na hasara zake, mwisho wake unakuaje.
Ukimwi
 
Ni aina ya umalaya ambayo inatakiwa ikemewe kwa nguvu zote!!
 
Back
Top Bottom