Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,121
Satelite view kama huna network yenye nguvu itakusumbua labda uwe unaenda kwa miguu. Kama upo kwa gari, ramani ya kawaida inatosha sana kama unajua vizuri matumizi ya ramaniChange view mkuu weka satellite view, waweza baini hata majengo nk
Kuliko map view.