Tujuzane bei ya mafuta ya kula huko ulipo

Tujuzane bei ya mafuta ya kula huko ulipo

Singapore lita 5 elfu 16000 hata 15000 tenaa ya alizet yamejaaa hadi yanakosa wanunuzi.
 
Huku bara wanaita kibaba, nasi wa pwani twaita koroboi=Huku nilipo(bara)kibaba ni tshs:200/= tena ndani wanaweka kikaratasi ili kupunguza ujazo!
Duuuh koroboi pia ni jina lingine la kibatari kile kinachotumiwa na wauza samaki usiku
 
Duuuh koroboi pia ni jina lingine la kibatari kile kinachotumiwa na wauza samaki usiku
Kweli COMMON SENSE IS NOT COMMON... Yaani watu wazungumzie kipimo wewe uelewe KIFAA cha kuleta mwanga wakati wa kuuza samaki usiku..!!!!

Yaani hii ni sawa na mtu ulipofundishwa neno RIGHT kuwa maana yake ni KULIA basi ukiulizwa IS IT RIGHT? basi kimbembe kuunganisha neno KULIA
 
Back
Top Bottom