Wapi huko, so cheap.15000 lita 5
Hiyo koroboi huku ni taa. Kibaba ndicho tunatumia kupima mafuta ambapo kibaba kimoja 1-tsh 200.Mafuta hayapimwi kwenye kibaba bali Koroboi!!
Upo zenji yakheee? Huku bara koroboi ni taa inayotumia utambi.kikoroboi tsh 200.
Mi bado sijajua kwakua sijaishiwa bado.Zile siku 3 alizotoa waziri mkuu Kassim Majaliwa ya kuongeza mzunguko wa mafuta zimeisha. Je bei imepungua? Km ipo ile ile tatizo lipo wapi na nn kifanyike?
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Arusha akisema wafanya biashara wameficha mafuta.
Kwa upande wangu naona tozo znazokadiriwa n TRA na Mamlaka ya bandar zipunguzwe ili bei ishuke n mzunguko urud wa kawaida na kwa haraka hasa kipind hiki cha kuelekea mfungo.
Hebu soma maelezo toshelevu ya KVM. Ukubwa dawa.Hiyo koroboi huku ni taa.
Kibaba hakikutumika kupima vitu kama mafuta ya taa au ya kupikia. Kipimo ninachokumbuka mimi ni kikoroboi (kule kijijini kwetu). Naweza kuwa nimesahahu jina lake.
Kibaba kilikuwa kinatumika kupimia vitu kama mchele, maharage, ufuta, n.k. Vibaba vinne ni pishi moja. Kwa wakti ule pishi kama 30 hivi zilikuwa zinajaza gunia moja (gunia la jute).
sasa kwanini huingii jikoni anivaHapo ulipo wanauzaje? Tuanze na wewe maana nina mda cjaingia jikoni
I think your very young to understand this......Koroboi huwekwa mafuta ya kula?
Sionahi haja ya kupika cz kula cafe na kupika ni same cost. May be akija mgen akakaa zaid ya siku moja ndo ntapiksasa kwanini huingii jikoni aniva