MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,837
- 880
ndo na mimi nmeshangaaKoroboi huwekwa mafuta ya kula?
ndo na mimi nmeshangaaKoroboi huwekwa mafuta ya kula?
Long term purches?.. Maisha yetu ya kuunga unga mkuu,,,kipato hakikidhi mahitaji,,,Jengeni tabia ya kuwa na long term purchases ..
Mi naskia kwa mitandao tu ...sjui mafuta.. Sukari..
Weka stoke ya kutosha nyumbani.
Zile siku 3 alizotoa waziri mkuu Kassim Majaliwa ya kuongeza mzunguko wa mafuta zimeisha. Je bei imepungua? Km ipo ile ile tatizo lipo wapi na nn kifanyike?
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Arusha akisema wafanya biashara wameficha mafuta.
Kwa upande wangu naona tozo znazokadiriwa n TRA na Mamlaka ya bandar zipunguzwe ili bei ishuke n mzunguko urud wa kawaida na kwa haraka hasa kipind hiki cha kuelekea mfungo.
Dah...kibabs ni kipimo cha uzito....ambacho ni Sawa na kilo 2½......koroboi ni kipimo cha ujazo....ambacho ni Sawa na 50ml.....Huku bara wanaita kibaba, nasi wa pwani twaita koroboi=Huku nilipo(bara)kibaba ni tshs:200/= tena ndani wanaweka kikaratasi ili kupunguza ujazo!

Usiyashabikie kwani ni hatari kwa afya yako vikiwemo sukari na chumvi.Zile siku 3 alizotoa waziri mkuu Kassim Majaliwa ya kuongeza mzunguko wa mafuta zimeisha. Je bei imepungua? Km ipo ile ile tatizo lipo wapi na nn kifanyike?
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Arusha akisema wafanya biashara wameficha mafuta.
Kwa upande wangu naona tozo znazokadiriwa n TRA na Mamlaka ya bandar zipunguzwe ili bei ishuke n mzunguko urud wa kawaida na kwa haraka hasa kipind hiki cha kuelekea mfungo.
Jengeni tabia ya kuwa na long term purchases ..
Mi naskia kwa mitandao tu ...sjui mafuta.. Sukari..
Weka stoke ya kutosha nyumbani.
Jiandae na magonjwa yanayosababishwa na lehemu nyingi.Mi huku kwetu nakula tu mafuta ya nazi tena kwa bei rahisi na sina kabisa mpango na mafuta yaliyo expire toka nje.
Wapi huko mkuu15000 lita 5
Mkuu koroboi unaifahamu?Mafuta hayapimwi kwenye kibaba bali Koroboi!!
Ni sawa lkn vipi kwa ambao kipato chao ni kidogo sana watafanyaje? Pia hata wewe unaeweka stock hiyo stock ikiisha wakati kama huu utakuwaje!!!?Jengeni tabia ya kuwa na long term purchases ..
Mi naskia kwa mitandao tu ...sjui mafuta.. Sukari..
Weka stoke ya kutosha nyumbani.
Waulize mama ntilieMb0na me ninayo mengi geto
Kwanini mkuu? Huku kijijini kwetu ni kuwa koroboi ni sawa na kibataliI think your very young to understand this......