Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu
Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Niko magogoni hapa karibu na ikulu
Club 84 Don hapa.....takataka moja imenitelekeza hapa for 2 hours now.sijui imeenda kuzini wapiJacana-Dom