Robertus Jacobus
Member
- Apr 6, 2024
- 53
- 54
SAIKOLOJIA NASIHI | UJUMBE WA LEO:
Unaweza kujishughulisha kupita kiasi, kucheka kila wakati, kukaa kimya, kujitenga au kuendelea kusema “niko sawa” wakati ndani kuna jambo ambalo bado halijashughulikiwa.
Ushauri kwa client:
• Jiulize: “Ni hisia gani ninajaribu kutoihisi?”
• Taja hisia kwa jina badala ya kuikimbia.
• Kubali kwamba kuhisi huzuni, hasira, hofu au maumivu si kushindwa.
• Zungumza na mtu salama au mtaalamu ikiwa hisia hizo zinaendelea kuathiri maisha yako.
Kisaikolojia lengo si kuondoa kila hisia zisizofurahisha ni kujenga uwezo wa kuzitambua, kuzivumilia na kuzishughulikia kwa njia yenye afya.
Gusa hapa:Figma
R.J. COUNSELLING PSYCHOLOGY
& ROBERT JAMES PODCAST
UNAPOKWEPA HISIA HUA HAZIPOTEI HUJIFUNZA KUJITOKEZA KWA NAMNA NYINGINE.
Katika saikolojia nasihi, emotional avoidance ni tabia ya kukwepa, kuficha au kujisumbua ili usikabiliane na hisia zinazokusumbua.Unaweza kujishughulisha kupita kiasi, kucheka kila wakati, kukaa kimya, kujitenga au kuendelea kusema “niko sawa” wakati ndani kuna jambo ambalo bado halijashughulikiwa.