Tujiulize maswali haya juu ya uporaji wa SILAHA

Tujiulize maswali haya juu ya uporaji wa SILAHA

Mara nyingi ni ulipizagi visasi kutokana na uonevu na mateso wanayopata watuhumiwa kwenye vituo vya polisi
 
Wakuu tushirikiane kuhakikisha silaha zinapatikana, madhara ya hizo silaha zisipopatikana yatatukumba raia wema. Mungu atunusuru na hili janga
 
Kuna mengi unayoweza kukisia mfano: Unapopora silaha kwa vyovyote utakuwa na mpango wa kuitumia mahali na kutokana na hilo utakachofikiria ni jinsi ya kuifikisha mahali patakapokuwa salama na karibu na pale unapokusudia kuitumia. Kutegemeana na uwezo, mtaji na mbinu ulizonazo, maamuzi yako yataegemea zaidi katika boundaries ambazo hazihitilafiani na limits zako katika maswala hayo matatu labda kama kuwe na mikakati ya ziada au nyongeza kutokana na factors za nyongeza.
Kutokana na mifumo ya kiukaguzi njiani na risks nyingi nyingine, jambazi anaekusudia kuitumia bunduki mjini, hawezi kupora mikoani hiyo silaha halafu aisafirishe mjini ingawa pia inawezekana akafanya hivyo kutegemeana na desperation aliyonayo.
Kutokana na factors za hapo juu, mtu anaweza kuconclude kuwa hawa majambazi wanatarget sehemu ambayo iko hapa center. Watalay low kwa muda hadi mambo yap oe na kustrike when the time is right.
Wanarisk kuvamia vituo badala ya kununua silaha kwa vile;
1. Hawana mtaji wa kutosha kununulia silaha wanazohitaji katika black market.
2. Wako careful wasiarouse suspicion kutoka kwa vyombo vya usalama endapo watanunua silaha nyingi kwa pamoja katika black market. Pia hawako tayari kumtrust mtu alie nje ya circle yao ya kiutendaji.
3. Wanataka kupata silaha nyingi kwa mara moja kwa kufanya matukio machache ya uporaji yatakayowapatia silaha nyingi kwa mara moja.
4. Wana uhitaji wa silaha nyingi zaidi na wanapanga kufanya matukio mengi zaidi ya kuvamia vituo ili wapate silaha nyingi zaidi na zaidi badala ya kufanya matukio mengi zaidi ya kupora silaha kwa askari mmojammoja.
5. Wanaendeshwa na njaa/ madawa ya kulevya au kukata tamaa kunakowafanya wafanye maamuzi bila kujijali.
Ni assumptions tu, hebu tusubiri michango ya wengine.
 
Jeshi la polisi linatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi. Kunakuwa na interaction ya moja kwa moja tena ya masaa 24 hivyo ni rahisi kuvamiwa (ukitilia maanani kama nilivyosema vituo vyetu vimejengwa kama bar. Polisi hawakai wengi kituo kimoja. Mazingira ya kambi za jeshi ni magumu sana wahalifu kuingia. Maghala ya silaha ya wanajeshi yamejengwa vizuri na yanakuwa na ulinzi wa zamu na usio wa zamu. Halafu kambi ya jeshi ina wanajeshi wengi mhalifu akiingia atakuwa anatafuta kifo.
Hapa sasa kuna haja kubwa kwa jeshi la Polisi kubuni njia mbadala ya kukabiliana na hali hii mbaya.
 
Ukiwa na matukio mengi yanayofanana yanakuwa si matukio tena bali unakuwa ni mkakati endelevu. Vyombo vyote vya usalama vinapaswa kufanya kazi ya ziada - intelijensia - kubaini wahusika na malengo yao. Si jambo la kawaida kwa wahalifu kulenga vituo vya polisi. Dalili zote zinaonyesha kuwa hao watu wanatafuta silaha. Swali la kujiuliza ni kwanini wanazitaka hizo silaha? Hisia zangu ni kuwa wanazitaka silaha za kijeshi kwa kazi nzito kama ugaidi, uasi, uvamizi au mambo mengine mazito kama hayo. Vyombo vya ulinzi na usalama vikilala usingizi na kufanya siasa siku za kulia na kusaga meno zinatunyemelea.

Mkuu umesema kweli!,siku zote ukicheka na kima utavuna mabua,na huko ndiko tunakoelekea km tusipochukua hatua stahiki.
 
Ktk jambo hili ni Vema vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama vikahusika wasiwaachie Polisi peke yao.
 
Majibu yako hayaridhishi! Majambazi sio rahisi kukosa silaha za kufanyia uhalifu. Na hawana tabia ya kuvamia vituo vya polisi kuiba silaha! Kuna siri kubwa nyuma ya huu uvamizi! Hakika sio majambazi wa kawaida.

Hivi IGP ni Nani vile.?. Alikuwa RPC mwanza. Baada ya kifo cha liberatus
Paul chagonja + simon nyakoro siro.
Hawa watatu tuweke CV zao za kazi miaka miwili nyuma. Kisha tuone Nani alikuwa anafaaa. Ukiweza muongeze na tossi . kisha fuatilia speech ya lema bungeni. Aliposema " hadi hivi sasa chagonja hajui kama rais keshateua IGP". Siasa nayo imeingia kwenye jeshi letu..
 
Mara nyingi ni ulipizagi visasi kutokana na uonevu na mateso wanayopata watuhumiwa kwenye vituo vya polisi

Au wanalipiza kuteswa kwa wale mashekhe wa Uamsho
 
Inashangaza sana pale mchangiaji anaposema vijana wa jkt hawafundishwi mbinu za kivita (channel ten).... Mafunzo ya jkt mbali na ukakamavu unafundishwa siraha za kivita kama Ak 47.SAR .LPG. Bomu la kurusha . medani za kivita..ambush .style n.k.. sasa kijana akiyajua hayo na akakosa ajira unategemea nn?
Uzalendo unahitajika hapa.........am out x jkt
 
Vile vikundi vya Panya road wameona havilipi wamekuja na plan B
 
Kuna mengi unayoweza kukisia mfano: Unapopora silaha kwa vyovyote utakuwa na mpango wa kuitumia mahali na kutokana na hilo utakachofikiria ni jinsi ya kuifikisha mahali patakapokuwa salama na karibu na pale unapokusudia kuitumia. Kutegemeana na uwezo, mtaji na mbinu ulizonazo, maamuzi yako yataegemea zaidi katika boundaries ambazo hazihitilafiani na limits zako katika maswala hayo matatu labda kama kuwe na mikakati ya ziada au nyongeza kutokana na factors za nyongeza.
Kutokana na mifumo ya kiukaguzi njiani na risks nyingi nyingine, jambazi anaekusudia kuitumia bunduki mjini, hawezi kupora mikoani hiyo silaha halafu aisafirishe mjini ingawa pia inawezekana akafanya hivyo kutegemeana na desperation aliyonayo.
Kutokana na factors za hapo juu, mtu anaweza kuconclude kuwa hawa majambazi wanatarget sehemu ambayo iko hapa center. Watalay low kwa muda hadi mambo yap oe na kustrike when the time is right.
Wanarisk kuvamia vituo badala ya kununua silaha kwa vile;
1. Hawana mtaji wa kutosha kununulia silaha wanazohitaji katika black market.
2. Wako careful wasiarouse suspicion kutoka kwa vyombo vya usalama endapo watanunua silaha nyingi kwa pamoja katika black market. Pia hawako tayari kumtrust mtu alie nje ya circle yao ya kiutendaji.
3. Wanataka kupata silaha nyingi kwa mara moja kwa kufanya matukio machache ya uporaji yatakayowapatia silaha nyingi kwa mara moja.
4. Wana uhitaji wa silaha nyingi zaidi na wanapanga kufanya matukio mengi zaidi ya kuvamia vituo ili wapate silaha nyingi zaidi na zaidi badala ya kufanya matukio mengi zaidi ya kupora silaha kwa askari mmojammoja.
5. Wanaendeshwa na njaa/ madawa ya kulevya au kukata tamaa kunakowafanya wafanye maamuzi bila kujijali.
Ni assumptions tu, hebu tusubiri michango ya wengine.

Nadhani uko sahihi kwa asilimia nyingi mkuu.
 
Mimi huwa na mashaka na wale wagambo na sungusungu wanaoshinda vituo vya police.Wengine ni vibaka wazoefu tunawajua eti nao siku hizi wamekuwa walinzi shirikishi.
 
Back
Top Bottom