CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,889
- 43,223
Stupid comment!!!Stupid political pomposity
Stupid comment!!!Stupid political pomposity
Jehannamakiondoka kwenda wapi
Kama mamenu anawafaa, kwanini Deo asifae?Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Kila mmoja ana historia maana hata Magufuli alifukuzwa seminari akiwa form 2, lakini akaja kuwa Rais wa Tanzania..Ndejembi aliyewahi kuwa tarishi wa GSM? Siku hizi vetting imekufa kabisa. Halafu Ccm wanakwambia wana hazina kubwa ya viongozi.
Kila mmoja ana historia maana hata Magufuli alifukuzwa seminari akiwa form 2, lakini akaja kuwa Rais wa Tanzania
Sasa Nchimbi si lilikuwa kopo tuu la kubwatabwata bila kujua anataka nini na anasimamia nini.Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Ni bendera ile...upepo ndiyo uelekeo wakeTlaatlaa anakuambia Agenda kuu ya 2030 ni Dr. Nchimbi
Sio TU bendera Ni zaidi ya iyo Mkuu sema ndio hivo nae jukumu lake ni propaganda TU na Kuna yule mwingine sijui ni mnyia sijui ni mnyaki yeye ni kububujikwa TU.Ni bendera ile...upepo ndiyo uelekeo wake
Ana hoja za misingi sana akitulia ila sijui ni kwa nini ameamua kuwa hivyo. Ninamkubali katika maeneo mengi sana likiwemo suala la kutotumia lugha ya matusi kama nguvu ya hoja ila sijui ni nini hasa kimeisibu akili hii nzuri.Sio TU bendera Ni zaidi ya iyo Mkuu sema ndio hivo nae jukumu lake ni propaganda TU na Kuna yule mwingine sijui ni mnyia sijui ni mnyaki yeye ni kububujikwa TU.
Hii ni codeTuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo
Ndio Njia aliyo chagua Kanuni Muhimu ili uweze kuchezea propaganda vizuri,hairakiwi upaniki,uwe na hasira au tutumie matusi,anajua anachofanya.Ana hoja za misingi sana akitulia ila sijui ni kwa nini ameamua kuwa hivyo. Ninamkubali katika maeneo mengi sana likiwemo suala la kutotumia lugha ya matusi kama nguvu ya hoja ila sijui ni ni nini hasa kimeisibu akili hii nzuri.
Maelezo meeeengi.
Kama unaona Deo hafai unafikiri nani anafaa na anapatikana kwa utaratibu upi ?
Might be possible aisee,Ndio Njia aliyo chagua Kanuni Muhimu ili uweze kuchezea propaganda vizuri,hairakiwi upaniki,uwe na hasira au tutumie matusi,anajua anachofanya.
Akiwa mkristu au mbudha au muislam au hata asipokuwa na dini. Sisi wananchi inatuathiri vipi ?Sifa za kumpata naomba kujua? Pia nataka kujua kwa sasa nani atakuwa ni Mrithi wa Kiti cha Urais kwa Hawa waliopo katika Baraza la Sasa la mawaziri? Je, lazima awe Mkristo???
Eda huwa ni miaka mingapi ?amalize eda kama
Eda ni takwa la kidini hivyo mahusiano ya yeye na marehemu siyo hoja, alikuwa mumewe ndiyo maana kifo chake kikitangazwa na Makamu wa Rais.Eda huwa ni miaka mingapi ?
Maisha ya Samia na huyo marehemu yalikuwa yana sifa za kuitwa ndoa au ilikuwa ili mradi tu ?
😂😂😂Tlaatlaa anakuambia Agenda kuu ya 2030 ni Dr. Nchimbi