Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?

Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Sasa Nchimbi si lilikuwa kopo tuu la kubwatabwata bila kujua anataka nini na anasimamia nini.
 
Ni jambo la Kujiuliza sana,lakini tunapswa kujua hili jambo moja huyu ni VP wa Tanzania na jukumu lake ni kutuhudumia watanzania,utofauti lazima uwepo kama ambavyo darasani matokeo ya mtihani yanavyo toka anakuwepo wa kwanza na wa mwisho,kitu Cha kutazama wasimkate makali TU...ana mwanzo mzuri Shida itokee ndani mwao humo humo.
 
Sio TU bendera Ni zaidi ya iyo Mkuu sema ndio hivo nae jukumu lake ni propaganda TU na Kuna yule mwingine sijui ni mnyia sijui ni mnyaki yeye ni kububujikwa TU.
Ana hoja za misingi sana akitulia ila sijui ni kwa nini ameamua kuwa hivyo. Ninamkubali katika maeneo mengi sana likiwemo suala la kutotumia lugha ya matusi kama nguvu ya hoja ila sijui ni nini hasa kimeisibu akili hii nzuri.
 
Ana hoja za misingi sana akitulia ila sijui ni kwa nini ameamua kuwa hivyo. Ninamkubali katika maeneo mengi sana likiwemo suala la kutotumia lugha ya matusi kama nguvu ya hoja ila sijui ni ni nini hasa kimeisibu akili hii nzuri.
Ndio Njia aliyo chagua Kanuni Muhimu ili uweze kuchezea propaganda vizuri,hairakiwi upaniki,uwe na hasira au tutumie matusi,anajua anachofanya.
 
Maelezo meeeengi.
Kama unaona Deo hafai unafikiri nani anafaa na anapatikana kwa utaratibu upi ?

Sifa za kumpata naomba kujua? Pia nataka kujua kwa sasa nani atakuwa ni Mrithi wa Kiti cha Urais kwa Hawa waliopo katika Baraza la Sasa la mawaziri? Je, lazima awe Mkristo???
 
Sifa za kumpata naomba kujua? Pia nataka kujua kwa sasa nani atakuwa ni Mrithi wa Kiti cha Urais kwa Hawa waliopo katika Baraza la Sasa la mawaziri? Je, lazima awe Mkristo???
Akiwa mkristu au mbudha au muislam au hata asipokuwa na dini. Sisi wananchi inatuathiri vipi ?
Tangu uhuru tumekuwa na viongozi wakristu kwa waislam lakini hakujawahi kukoma kwa maovu na ukatili wa dola dhidi ya wananchi.
 
Eda huwa ni miaka mingapi ?

Maisha ya Samia na huyo marehemu yalikuwa yana sifa za kuitwa ndoa au ilikuwa ili mradi tu ?
Eda ni takwa la kidini hivyo mahusiano ya yeye na marehemu siyo hoja, alikuwa mumewe ndiyo maana kifo chake kikitangazwa na Makamu wa Rais.
 
Back
Top Bottom