Tujitume kwenye namba....ingia!

Tujitume kwenye namba....ingia!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Nawapeni heshima Members JF!
Naingia tena na hili la ku-brush bongo zetu.
1-Kuna watu idadi zao wapo Mia Moja...
2-Zipo kilo za nafaka Mia Moja...
Hawa watu wapo makundi matatu...
(i)kundi la kwanza wagawane kilo mbili.
(ii)kundi la pili wagawane kilo tatu.
(iii)kundi la tatu wagawane nusu.
Hii hisabu itakuaje?
Nawakilisha.
 
Kundi la kwanza tuseme kundi a litakuwa na watu approximately 36,kundi la pili watu 55 na kundi la tatu watu 9.
 
Back
Top Bottom