tukishawatetea tutapata pesa zetu??? Au ndio mgawane zilizobaki. Kila mtu abebe masala a wake walipanda mahindi wasifikiri kuvuna maharage. Tumechoooookaaaaaa na hii mijizi jambazi wauwaji na walafi period!!!! Uraisi Tz ni biashara tangu Mwalimu ang'atuke wengine wote ni maigizo na dhambi ile ile.
Naomba unijibu huyo Prof. Anna Tibaijuka huo u-Profesa wake umelisaidia nini TAIFA. Ninachofahamu kila suala analosimamia ni Majanga tu. CHUO KIKUU alikuwa hajui chochote zaidi ya kukopi notisi ubaoni ili wanafunzi wanakili. Baadaye akaanzisha Bawata akatimuliwa mbali nayo. Akamdanganya Kofi Annan akampa uongozi UN-HABITAT akaishia kuiba NA kufukuzwa, akaenda Wizara ya Ardhi akaishia kukwapua ardhi za watu kuanzia Muleba, Kigamboni na Mwanza, NA sasa amekwapua Escrow account. Huyu hatakiwi kutetewa Bali tumpeleke China akanyongwe. Huwezi kuwa NA msomi Mpuuzi kama huyu. NA yeyote anayemtetea anastahili kunyongwa maana naye atakuwa ni mwizi.
