salumhamza
Member
- Nov 7, 2015
- 6
- 16
Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada
ya Udaktari
Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada
ya makenika
Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri
kupitia kipaji chake
Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwana
jeshi mwenye eshima yake
Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza ni
mwanasheria
Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka
Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma
group 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za
movies
.....CHUKUA HATUA.