Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

ha ha ha ha ha
 
Kuwa single au kuwa mseja ni zaidi ya kuishi pekeyako. Mimi hilo singo sababu wote niliofikiria ningeishi nao kama patna hadi uzeeni nilishindwa kuwavumilia.

Ni Dadii pekee hadi dakika hii ndo amefanikiwa kuniaminisha kuwa sitazeeka nikiwa singo.

Daima Dumu Milele Amina Dadii.

Love you mingi sana, mmmuuuahhhh!!!

Platinum Matata K.
 
Tatizo mkuu ni moyo;unajikuta umependa sehemu ambayo si sahihi
 
Ha ha ha ha hongera kwa kuvuka hicho kihunzi
 
Ngoja Lizarazu aione hii atakuita mwanaume bwege
Bila shaka umefurahiiiiii kuona jamaa aliposema "ukiona mwanamke anafanya ujinga ujinga basi ujue mwanaume yuko nyuma yake" 🀣🀣🀣

Wanawake mnapenda sana mwanaume anaye justify makosa yenu pale mnapokosea hata kama ni kwa makusudi!?

Hawa wanaume wanao wachukulia wanawake kama watoto au watakafifu mimi huwa nawaita EFFEMINATE ASS-KISSING ZOMBIES. Hawa ndio wanaowaharibu wanawake kwa kukumbatia upuuzi wao na kujipa lawama wao zisizokuwa na ulazima.
 
Hahahahha nikwambie tu mi napenda sana mwanaume aina yako sababu ndo mood yangu ilipo yani ni mbele tembea nyuma geuka ukinuna hubembelezwi ukizubaa umeliwa ila sasa usiwe serious hivyo muda wote

Nilikumiss tu nikaona nikuite
 
Wa kwanza rest in Paradise
Wa pili tuliamua wenyewe kuachana sababu ya dini ' hakuna aliyekuwa tayari kumfata mwenzie.
Wa sahivi ' sir God tusaidie tufike tunapotakiwa kufika πŸ™
 
Kina lizarazu watasema unaniwinda

Hongera kwa mtizamo mzuri kuna wanawake wamejeruhiwa sana sasa wakikutana na kina lizarazu wanachanganyikiwa kabisa walau hivi mtizamo kama wako unawapa ahueni wanaume wote mngekuwa hivi hata rate ya masingle mama ingekuwa chini......ila saaaasaa
 
Bado ana nafasi ya kupata msaidizi

Hebu kuwa practical, hiyo nafasi inapatikanaje? How? Ukisoma nyuzi za kudiscourage kuoa single mamaz unaconclude single mama wengi tutabaki single.

Please lay down a plan and strategy for singles not to remain singles for the rest of their lives; particularly single mothers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…