Tujikumbushe!

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Jamaa mmoja alimwambia mkewe: unaonaje tukajikumbushia zile enzi za uchumba wetu?
Mkewe akakubali kwa kusema "sawa sio vibaya".

Jamaa akamwambia mkewe "basi kesho tukutane saa 4 garden", mkewe akakubali. Siku ya pili jamaa akafika garden akamsubiri sana mkewe masaa mawili,lakini hakutokea.

Jamaa kufika nyumbani na mahasir yake akamuuliza mkewe "mbona umeniweka boya hukutokea?"
Mkewe akamjibu "Mama alinikataza nistoke".
 
Imekaa njema njema,kazi zuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom