Hilo swala halina cha uchadema wala uccm.kwa hiyo kwako wewe mtu akipinga mauaji,utekaji,utesaji na ubakaji unamuona ni mshabiki wa chadema siyo
Na bado hamjasema, Gwajima ni tajiri hata kabla ya ubunge, hatafuti huruma kurudi bungeni.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Anaeleweka sana mzee baba. Hujaelewa kipande kipi?Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema
Huwez mwelewa Kwasababu kwanza Una matope mengi kichwani, kama ulikua unapata tabu kukuelewa Mwalimu wako alokufundisha A E I O U, utamwelewa Gwajima???Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Siyo kazi ya mbunge kuendeleza Jimbo. Yeye ni mwakilishi tu.Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana
Wewe ni muongo na mkurupukaji.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Hivi dada una mtoto!!? Kama unaye ukisikia ametekwa na kuuwawa utajisikiaje? Hii sio issue ya chadema ni issue ya uhai wa binadamu wenzako. Kwani unafikiri watu wote wanaoumia kwa watu kutekwa, kuumizwa na kuuwawa ni wafuasi wa chadema pekee? Na kama unafikiri ni wafuasi wa chadema maana yake unataka kusema wanaoteka ni upande wa pili??Mashabiki wa chadema walivyo nyumbu wanamtetea kwa nguvu zote.
Labda ni wewe tu hujamwelewa lakini kaeleweka sanaJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Panya mmewekewa pumba kidgo mmeanza kutoka mashimoni mmoja baada ya mwingineJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
π€£π€£π€£π€£ umepigaje hapo!!Tulia mwenyewe mbeya mjini hakuna alichofanya ndio maana amekimbia jimbo kwenda jimbo jipya la Uyole, na huyo ni spika.
Kwa hiyo unataka tukuelewe wewe pimbi usiyejulikana au Askofu wetu Gwajima?Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Mtetezi wa wabakaji na mafisadi huyu hapa.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Hivi dada una mtoto!!? Kama unaye ukisikia ametekwa na kuuwawa utajisikiaje? Hii sio issue ya chadema ni issue ya uhai wa binadamu wenzako. Kwani unafikiri watu wote wanaoumia kwa watu kutekwa, kuumizwa na kuuwawa ni wafuasi wa chadema pekee? Na kama unafikiri ni wafuasi wa chadema maana yake unataka kusema wanaoteka ni upande wa pili??
Kuwa na utu dada yangu I have known you here at JF for a long time ila siamini kama unaweza kuwa low kiasi hiki. Hii ni dunia tu dada na wote tutaondoka.
Wewe na familia yako ndo hamumuelewiJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Hii haina shida, hayo yamepita and now we are looking at what is on the table now! Watu wanatekwa, wanauwa, wanapotezwa. hizi ndizo facts za sasa on the table. Clip hizo tupa kule!Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia β ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.