Tujikumbushe wasanii wa BongoFlava waliosanda

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
409
500
Huu Uzi maalumu hususani kwa muziki wa Kizazi Kipya "Bongo Flava" wasanii/wanamuziki waliopotea katika ramani ya muziki huo

Unaweza kuongezea na nyimbo zao pia

Naanza na wafuatao

-Bodea
-Noorah
-OCG
-Suma G
-Inspector Haroun
-Renee Lamira
-Kakaman
-Voice Wonder
-K Brazil
-Bizzman
-Soggy Doggy
-Farida
-Pauline Zongo

The list continues....

Endelea
 

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
2,000
Mic T
Zay B
Dataz
Snare
Batman
Baby boy
Soggy doggy
Xplastaz
Majitu
Ray c
Crazy dog
Afande sele
Juma nature
Master jay
 

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
949
1,000
Woote hao wangekubali waandikiwe mashairi wangerudi katika gemu. ...

ubishi umewaponza wanajiona mastaa wakati gemu limechange

Na style zinabidi zichange. .najua wanasoma huu uzi.

Wafanyie kazi watakuwa na comeback nzuri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom