Tujikumbushe walio bungeni isivyo halali

Bila kusahau hili la Arumeru Mashariki,hadi nature ikaamua kufanya kazi yake,..vilevile Chilligati nae hali ilikuwa mbaya,ujanja wa magamba ukamwokoa!
 
Makongoro Mahanga baada ya kuona wizi umeshindikana Segerea, maboksi yote ya kura yaligamishiwa mnazi mmoja. saa nane usiku kura zikahesabiwa tena "akashinda"!!!!!!!!!!!!
 
Pinda, Anna Makinda, Mkono, January Makamba na wabunge wote waliopitishwa na tume kwa madai ya kupita bila kupingwa. Hawakuchaguliwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Kwanini wasipigiwe kura ya ndio au hapana?
 
Dr. nchimbi waziri wa habari na utamaduni jimbo la songea mjini aliiba kura na alitangazwa usiku na ulinzi wa geshi,aligalagazwa na mwanasheria maarufu songea bwana MBOGOLO
 
Hamis Kagasheki Bukoba mjini, Jason Rweikiza Bukoba Vijijini Schumpter wa Misenyi hawa waliongoza kwa kuiba na kutoa rushwa.
 
Mizengo Pinda, January Makamba na wabunge wenzao wote "waliopita bila kupingwa". Wabunge hawa hawajaainishwa katika katiba. Hawakuchaguliwa na wananchi, hawakuteuliwa na rais, si wabunge wa viti maalum wala hawana namna yoyote waliyotajwa kikatiba.

Mwenzao mwingine aliyejaribu mtindo huu Lawrence Masha walimshikia bango tukaona katupwa nje na kwa kweli si kipenzi cha watu kiasi hicho.

Hizi habari za "wabunge waliopita bila kupingwa" zinavunja katiba.
 
Nahisi kizunguzungu nikisikia mbunge kapita bila kupingwa!Ina maana yeye ni zaidi ya Yesu?It funny!Isn't it?
 
pia UJI wanasemaje tena mkuu
 
Godbless Lema wa arusha Mjini,
Alitumia kauli zenye chuki za kidini na kibaguzi kuwalobby mbumbumbu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…