Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

Mbabe damas nyaoro .....wazee wa COET mtakua mnajua vizuri mbabe huyu....siku moja kwenye Ue yake ya foundation engineering kuna swali darasa karibu zima tulijua kuna constant inabidi approvide tusolve swali mshikaji moja kagonga kuulizia ukapigwa bonge la mkwara "DON'T ASK FOR A SOLUTION ASK FOR CLARIFICATION "

Katesa sana watu mbabe huyu tushaandamana asinamishwe chuo tukaishia kupigwa suspension sisi
 
Niliwahi kuambiwa na rafiki yangu aliyekuwa anasoma Engineering hapo udsm kuwa prof.Luhanga naye ni mtata na ana majivuno ya chinichini. Kumbe ni kweli!
Wenye maringo alikuwa na rafiki yake wakati huo Dr. Mark Mwandosya.Hawa walikubuhu kwa maringo na dharau kwa wahadhiri wa kizungu wakati huo wengi wao wakiwa wajerumani.
 
Kuna bwana mmoja anaitwa karamagi. Department ya economics huyu bwana na alikuwa anamikwara saana. Lazima asapishe shuttle(coaster) sita. Watu watakao wap wajaze min bus sita. Sasa hapo tunaosoma coz husika tupo mia nakitu...!
Daaa namjua Karamagi pale Economics Department nilikua namuogopa kama ukoma,sijui yupo hadi leo i don know!
 
Maisha ya raha tu hayawezi kumfunza mtu. Katika maisha lazima upitie kipindi kigumu walau cha kukupima uwezo wako wa kukabiliana na changamoto.Hata elimu iko katika mkondo huu, kuna wakati chuoni tulipitia magumu katika baadhi ya kozi hata kukata tamaa. Lakini pia baadhi ya wahadhiri walifanya maisha haya yawe magumu kwa ubabe wao na kauli zao tata. Hebu tujikumbushe hao wahadhiri ambao walitufanya tuone maisha ni magumu.

I will never let my government down. Siwezi nikaruhusu kilaza avuke mwaka na kwenda kuua watanzania-Dr.Thomas Nyambo, Biochemistry MUHAS
Kumbe muhas kuna vilaza
 
Back
Top Bottom