Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

'' mpaka utoke jasho la damu" ndo utalivaa joho. Maneno yake prof. Mtengeti kwenye course ya Range research methodology. Siku ya paper lake watu walikohoa kila swali unalokutana nalo bora ya uliloliacha nyuma.
 
Aaitwa nani😂🙃🙃
Kwakweli huyu ni mwalimu haswa!

Sentensi yake hiyo huwezi ipinga kwa hoja yoyote.Simple and clear!

Ni kama prof wangu wa Electrical Power Systems Circuits,uki-calculate voltage into three decimal places ukakosea 3rd decimal number,anakwambia utaunguza grid ya taifa hufai lazima urudi SUP...

The nigga was savage!
 
Kcmc pale school of pharmacy nlibanwa na oral exam ya pharmacotherapy...asee jamaa aliniuliza swali jib nlilotoa akanambia "you are speaking catterpillar language to a butterfly i dont understand you" kajipange kwanza...dah ctasahau
Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom