Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

Nilihadithiwa pia Kuna jamaa anaitwa Kelvin udsm department of foreign languages and linguistics alishawai kuisahihisha kwa peni nyekundu barua na kumwambia airudishe inamakosa. Barua ilitoka kwa dean of students ili ampe mwanafunzi mtihani alikuwa ktk msiba.
Duh....
 
Kuna siku pale Conas kuna jamaa alikuta parking zile zenye majina ya maprof iko wazi akapaki land cruiser yake kisha akaendelea na mambo yako. Baada ya muda akaja mwenye parking yake akakuta kuna land cruiser. Alichofanya akapaki Hammer lake nyuma ya ile cruiser ili isiweze kutoka halafu akaita gari nyingine akaondoka. Mwenye cruiser alipofika akadhindwa kutoka ikabidi yeye na ma polisi wakae wamsubiri yule Dr arudi. Alipofika very late akamwambua yule jamaa waland cruiser kuwa kama anataka parking yake ASOME akatoa hammer lake na jamaa akatoa gari yake.

Nb

Parking za udsm zenye majina hata kama hawapo hurusiwi kupark. Mfano parking ya mkemia mkuu tangu apate uteuzi huwezi kuta hata bajaji imepark pale.

Duh
 
Huyo mzee aliwahi kuingia lecture pale yombo 5 baada ya kipindi akasema hapa hakuna atakaye score A kwenye hii kozi, labda mpambane muweze kubahatisha B+ .
Hahahaha kuna jamaa anaitwa kirei, kangarawe na kuna kijamaa kimoja kilikuwa kinajisikia saana Mr Mchome huyu anakupa semina work ukimletea anaedt ukienda kufanya marekebisho anakuja kuedt tena unaweza kuedt paka mara tano.

Kuna siku tukamwachia tukamwambia weka marks hizo utakazo ona. Hatuend kuedt tena. Duh akatupa 3/8
 
Kuna mbabe mmoja anaitwa chuwa anafundisha commercial pale law school, si mtu wa mchezo mchezo
 
Hivi professor Osoro katulia siku hizi..sijapata kuona prof mwenye paper(economics)zenye tric kama yule..Karamagi ni cha mtoto tu!
 
Hivi professor Osoro katulia siku hizi..sijapata kuona prof mwenye paper(economics)zenye tric kama yule..Karamagi ni cha mtoto tu!
Kuna dr Ossoro senior
Huyu nae mtata saana. Intermediate micro economics. Lazima uchanganyikiwe
 
Jamaa wa HRM sua anaiwa Mikidadi Muhanga aliwaahi kumwambia jamaa "ntaacha nyayo zangu kwenye moyo wako" akimaanisha jamaa anacheza nafayaaa...RURAL DEV NA AEA watakua wanamkumbuka vzr uyu anamikwara unaweza kuzimia
Hiki kitisho ni cha aina yake.Lazima mwanafunzi utetemeke
 
Daaah Adam Mtaho uliko Mungu anakuona na somo lako la Electrical engineering-UDOM. Ila nasikia vyeti feki vimekula kichwa chako na sasa umerudi Kigoma kuvuna Mawese tu.
A for apple
B for ball
Kumbe umepiga udom. Aisee hili somo amekuja kulipokea Bwana mmoja anaitwa Nyondo... alinifanya niishi kama vile.niko vietnam.. kumbe niko info.
Nyondo kukote ulipo ulaaniwee.. aisee
 
Mna akili za kijinga kweli mnachokiweza ni kuingia tu facebook na instagram mnapiga tu mapicha picha ya kijinga lakini kuingia google ukacite kazi yako unahsindwa hamuingii library kazi Kama za o level hamuingii vipindi mwalim akighairhisha kipindi mnashangilia tu huwezi kupata A wakati hampo serious
Is not about library yna. Sis tulikuwa tunapiga msuli lakin lecturer anakwambia kabisa hamtoboi na analeta pepa nyeusi mnapoteana wote.
Nani alikwambia chuo ni kukesha library tu.. ? Its is more than that...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom