Tujikumbushe tarime sekondari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe tarime sekondari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Manyiri, Jan 22, 2009.

 1. M

  Manyiri Member

  #1
  Jan 22, 2009
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15


  tujikumbushe tarime sekondari kwa wale waliokuwepo enzi za 1999 hadi 2002 .kulikuwa na headmaster akiitwa gosori wakati huo tulikuwa tunamuita chai jaba enzi zile za kwenda toilet huku mashati ukiyaacha nje kwa kuhofia ukiingia nalo chooni litatoka na harufu.........
  Enzi hizo za full ugari kwa maharage kwa muhula wote bila kuchange diet hata kidogo!!!
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,526
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Choo kipi cha Bweni la Umoja au........teh teh teh teh
   
Loading...