Tujikumbushe siasa kidogo.

Hahaha naona mshabiki wa simba kakaa siti za yangu taifa akiwa amevaa jezi.
 
Karma haikwepeki lazma ijibu tu mkuu.
 
hyo jamaa wakushoto cyo bashite kweli maana huo urushaj mawe huo
 
Upande wa Kulia kuna Mzee kabeba jiwe na mikono miwili naona anakuja kwa kasi ya Kimondo. Itabidi Achunguzwe uraia wake kama sio mtu wa Sudan basi Nigeria.
Hahaha. Nimemuangalia sijammaliza.
 
Aliepiga hii picha inatakiwa apewe zawadi.

Perfect timing.
 
hii picha naiangalia kila siku ila leo ndio nimeitafakari nimecheka sana
hawa wangekuwa na bunduki wangemuua hapo hapo
 
huyo kamanda anavyokwepa mawa kama jagwa wa apocalypto
ulaya hizi picha ni bei kubwa ila huku bongo ni bure kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…